Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

Kwa nini hakitokea muislamu mjenga hoja wa dini yake anakuwa adui wa waislamu wanzake

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kuna kijana mmoja kwenye mitandao ya kijamii naona kawa mwiba kwa waislamu wenzake.

Ila nacho jiuliza kama mtu anajenga hoja,elimu na jinsi dini kama kuna sehemu waumini wamesahau ni kukumbushana na kuona dunia inavyo kwenda.

Kinachoendelea hata zile chuki za kuonesha muwapendi wakristo mnazileta wazi wazi mpaka kwa muislamu mwenzenu.

Ni kwamba mtaki kuwa na elimu ya dini yenu zaidi.
 
Unajua dini haiendeshwi kwa utashi wa akili ya mtu mmoja, uislamu ni dini iliyokamilika.
Ukileta stori zako za kutunga hakuna atakaekuelewa hata useme vipi
 
Unajua dini haiendeshwi kwa utashi wa akili ya mtu mmoja, uislamu ni dini iliyokamilika.
Ukileta stori zako za kutunga hakuna atakaekuelewa hata useme vipi
Kwa hiyo hata dini yako ilitakiwa Quruan kutowekewa App kwenye simu.
Au kutumia vile virozali vya kidigatali na maspika ya umeme sababu ni utashi. Mbona AK 47 mumeweka kwenye bendera za mtume wa dini.Ni za utashi wa nani.
 
Unajua dini haiendeshwi kwa utashi wa akili ya mtu mmoja, uislamu ni dini iliyokamilika.
Ukileta stori zako za kutunga hakuna atakaekuelewa hata useme vipi
Dini ya kijinga sana. Imeifanya Dunia sehemu ngumu ya kuishi.
 
Back
Top Bottom