Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia ya utamaduni kuonyesha jambo kama hilo kuwahi kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia ya utamaduni kuonyesha jambo kama hilo kuwahi kutokea.