Kama huamini kwenye Biblia unataka chanzo kipi?Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia ya utamaduni kuonyesha jambo kama hilo kuwahi kutokea.
Too absolutePamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia ya utamaduni kuonyesha jambo kama hilo kuwahi kutokea.
Unajua maana ya utumwa kweli au unanijibu kubahatisha tu?They were not nomads.
labda kama hiyo topic imeondolewa katika mtaala wa sasa, lkn hiyo topic ilikuwepo na tulifundishwa kidato cha piliHakuna historia inayosema binadamu hapo kabla alikuwa sokwe.
Umefatilia vizuri.. Umesoma ancient Egyptian texts?Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu ya kitu kama hicho kutokea.
Hakuna chembe ya maandishi ya kale ya Wamisri, zana, vyombo au masalia ya utamaduni kuonyesha jambo kama hilo kuwahi kutokea.
Jibu swali kama huna jibu pia kuwa muwazi.Twende kwenye point kuokoa muda.
kuhusu walimu nawatetea, hawakuwa vilaza. kuhusu vitabu kuandikwa na wajinga, nakuunga mkono kwa asilimia zote,Kama mlifundishwa hivyo mlifundishwa na walimu vilaza, wapotoshaji au vitabu vilivyoandikwa na wajinga.