Kwa nini hata ndoa ikivunjwa na mwanamume lawama zinaenda kwa mwanamke?

Bwana hata kama mlijuana; ktk mila zetu, mume anaruhusiwa kukosea na mke anapaswa kuvumilia! Wangapi, tulivyoanza uhusiano iwe ndoa au mapenzi tulijiona luckiest pipo in the whole world? Na nyuzi nyingi humu ndani including yako Naz zimekuwa ziki au kukumbusha wanawake kulinda ndoa zao, au kuonya juu ya baadhi ya vitu vinavyomkimbiza mwanaume!
While on the other hand sijaona wanaume wakifundana juu ya kupenda na kutunza family zao!
 
so bora ku cheat sio?lol
 
<br />
<br />
Umeanza eeh!
Lediiz n jentlomeni hia kamz Ze Big Boss aka Ze Chita! Lets put awa hends togeza fo Ze namba wani Chita in TiZii land!

Kwa kwa kwa!

not cheetah....i am tiger lol
 
Back
Top Bottom