KWA NINI HILI HUTOKEA

KWA NINI HILI HUTOKEA

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,828
Ni matumaini yangu mko salama salmini wakuu, kuna kitu huwa kinanishangaza sana, unaweza kuwa huna shida na mtu flani ukawa unamuona mara kwa mara lakini siku utakapomuhitaji tena unakuta una shida ya haraka au hata kama sio ya haraka unakuta mtu huyo au kitu hicho kinaadimika au anaadimika sana, huwa kuna nini hutokea hapa?
 
Ni kwa vile unakua unahitaji muda huo ndo mana,,ila kimsingi siku unazokua unamuona huyo MTU au kitu sio kila siku au kila saa,,ni kwavile tu unakua huna Shida naye
 
Kwa tunaotumia daladala, utakuta siku una haraka gari ndiyo linapaki kila kituo kama treni halafu mwendo wa kobe.

Na hapo hapo umelisubiria hilo basi zaidi ya saa
 
hii huwa inatokea sana ...ndio maana waswahili kwa kulijua hilo wakasema usiache mbachao ""..
 
hii ni kawaida sana kwa maisha ya kila siku ya mwanadamu!!
 
Back
Top Bottom