Kwa nini humu Lugha ni Kujiajiri au Ujasiriamali? Humu hatuzungumzii jinsi ya Kuajiriwa.

Kwa nini humu Lugha ni Kujiajiri au Ujasiriamali? Humu hatuzungumzii jinsi ya Kuajiriwa.

Sijui haya yametoka wapi coz inaonekana kuna chanzo,

Lakini ni sahihi kwamba jukwaa hili biashara,uchumi na ujasiriamali,

Ukileta maad humu lazima ulenge ujasiriamali(kujiajiri),Biashara in any means lakini uongelee biashara na uchumi kwa ujumla,

Huyo atakayeleta maada kwa ajili ya kutafuta kazi atakuwa anakosea kwa sababu kuna jukwaa la hayo mambo,

Lakini kuajiriwa sio dhambi na mwajiriwa pia anaweza kuleta maada yake kuomba ushauri kuhusu ujasiriamali.

Hatuna haja ya kulumbana
nazani ndo alivyo fanya mleta maada sasa kuna watu hawapendi
 
Ishu sio kujadili kuajiriwa au kuajiri ishu ni usitumie lugha ya kuonesha kuajiriwa ni kebehi mkuu. Kama unavyoheshimu kuajiri kwako heshimu na kuajiriwa kwa wengine, simple! Unaweza kujadili tu kwa lugha nzuri mbona.

Wewe unataka watu waache ufugaji wako wa kuku mbona wewe unazungumzia kuajiriwa kwangu?
We jamaa ni mbishi sana na Chasha ameisha kualez kwa hili jukwaa kuajiriwa ni kweli ni ufala
 
Watu wote duniani wameajiriwa!!
Ukianzisha Kampuni,wateja wako ndiyo wajekuajiri!
Pili ukiwa na Kampuni au Shughuli binafsi mwisho wa siku unapata ujira,au tuiite faida baada ya kuondoa operational costs zote.Hiyo ndiyo unapeleka Kwa wanao na mkeo au mmeo.Wanao hawajapata kama umejiajiri au umeajiriwa ili mradi wanapata mahitaji Yao!!Ila Kuna Jambo linashangaza hadi kesho:-Hawa wanaojiita wamejiajiri,ukichunguza michango yao kwenye Jamii ni midogo.Mfano, familia nyingi zinawategemea walioajiliwa kama chanzo cha kutegemea cha mapato.Aidha Makanisa yanawategemea Kwa zaka na sadaka.Toka napata akili,michango ya wenye kujiajiri kwenye Shughuli za kijamii ni hafifu.
 
Nazani watu wanakuwa wagumu sana kuelewa. Hivi mfano lile jukwaa la Mapenzi na uhusiano hivi unaweza enda kuanzisha mada ya kuuuza hisa?,si utaonekana fala?

Humu watu wanajadili Kujiajiri na si kuajiriwa kuna jukwaa la kuajiriwa humu ni kujiajiri.
Kwani kuajiriwa hakuhusiani na uchumi ? Usijifanye mjuaji sana we jamaa..wabongo bwana utafikiri we ndo wa kwanza kujiajiri, mbona kuna watu wamejiajiri kitambo na wametulia tu hawapigi majungu wenzao ? mara ooh ! Waoga ! mara kufanya kazi za wanaume wenzio !mara ufala, acha maringo mdogo wangu. mi nikiwa na mada kuhusu kuajiriwa ntaweka hata humu na tusipangiane
 
wewe utakuwa unatunzwa na shemeji yako.
 
Watu wote duniani wameajiriwa!!
Ukianzisha Kampuni,wateja wako ndiyo wajekuajiri!
Pili ukiwa na Kampuni au Shughuli binafsi mwisho wa siku unapata ujira,au tuiite faida baada ya kuondoa operational costs zote.Hiyo ndiyo unapeleka Kwa wanao na mkeo au mmeo.Wanao hawajapata kama umejiajiri au umeajiriwa ili mradi wanapata mahitaji Yao!!Ila Kuna Jambo linashangaza hadi kesho:-Hawa wanaojiita wamejiajiri,ukichunguza michango yao kwenye Jamii ni midogo.Mfano, familia nyingi zinawategemea walioajiliwa kama chanzo cha kutegemea cha mapato.Aidha Makanisa yanawategemea Kwa zaka na sadaka.Toka napata akili,michango ya wenye kujiajiri kwenye Shughuli za kijamii ni hafifu.
Hahaha mnapebda kujifariji sana. Makanisa yanawategemea walio ajiriwa sio?

Shida watu mnakuwa wagumu sana kuelewa hapo ndo kuna shida kubwa sana.

Nisha fafania ila kama kawa watu hawaelewi.
 
[emoji385][emoji383][emoji387][emoji386][emoji386][emoji387][emoji383][emoji385][emoji125][emoji125]
Wageni karibuni wote
Humundani kuna fursa moja ambayo ita wainua watu wengi.

Jiunge na ajira hii ya mtandaoni kwa manufa yako mwenyewe

1.ajira hi aitaji kipato wala elimu INA itaji muda na kifurushi cha intanet

2.malipo yake yana fanyika SAA yoyote ndani siku za kazi pale uta kapo hitaji ulipwe

3.ukijiunga ili uweze kupatiwa pesa zako itakubidi ufikishe dola 150$ kwamara yakwanza hi wana ifanya ili kujua kama upo serious kufanya kazi nao.ila ukisha to a kwa Mara ya kwanza baada yahapo itakua unalipwa kila unapo fikisha 5$ nakuendelea

3.na malipo yana fanyika kwenye account ya benki yoyote APA nchini kwetu

Ku pata dola 150$ ni rahisi itakuchukua SAA moja nanusu kwa kufanya kazi bila kusimama bila kusimama

Kazi yenyewe niku angalia ma tangazo yanayo wekwa kwenye tovuti apo chini ili kujiunga

Boyeza linki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Viewing payed advertising sites rpmoney.club - Welcome!
Unaweza ukawa shilikisha na wenzako

[emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161][emoji161]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaona sasa akili za watu wasiotaka ajira
 
.....

HUMU KAMA KUNA WATAFUTA KAZI AU WAFANYA KAZI SAMAHANI NA WATU WA AINA HIYO WAWE WANAPITA TU
Chasha nimekupata vyema mkuu ila nadhani wewe mtoa mada na walengwa wako mnakuwa out of frequency. Nilichokielewa kidogo kwa kufuatilia mabishano yenu ni kwamba kila mtu yupo sahihi kutokana na mtazamo wake na ufikiri wake. Nadhani kuna lugha unayotumia labda hawapendezwi nayo. Kisaikolojia hakuna mtu ambaye anapenda ego yake kuwa crushed au kuambiwa anachofanya si sahihi. Labda nadhani ungebadili tone kidogo mkuu katika kuwashawishi watu kujiajiri. Mimi ni advocate wa kujiajiri. Njia zipo kadhaa za kumshawishi mtu. Moja ni kuepuka majibizano ya moja kwa moja na wale unaojaribu kuwashawishi.. Njia zingine ni kujaribu kuheshimu mawazo yao maana kuna kitu ambacho kinawafanya wawaze jinsi wanavyowawaza..Na wakati unayaheshimu kwa kuonyesha kwamba kuajiriwa ni kitu kizuri kuliko kukaa tu bila kazi ndo hapo hapo una chomekea kuonyesha ubora wa kujiajiri..Kwa njia hii unakuwa umeheshimu uhuru wao wa kufikiri... Njia ya tatu ni kujaribu kuwa na utani na urafiki nao kidogo unapotaka kujenga hoja itayowavutia..Na zinginezo nyingi...Ni mtazamo tu mkuu naweza pia nisiwe sahihi.. Lakini nimependa jinsi unavyojitahidi kuhamasisha watu na usivyo mchoyo wa maarifa. Nimekuwa nafuatilia mada zako nyingi kwenye hili jukwaa na ningependa kusema wewe ni mmoja wa watu wenye mchango mzuri kwenye hili jukwaa. Nakumbuka ile mada yako ya kuhusu kutafuta fursa mahali ulipo kama mtaani kwako. Ilinivutia sana. Endelea kuwa na moyo huo huo mkuu.
 
Back
Top Bottom