Kwa nini iko hivi wapendwa?

Maty

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
2,167
Reaction score
727
Wapwaz na binamuz habari za asubuhi, wakubwa shikamoni, natumaini mmeamka salama wapenzi. Hebu nisaidieni katika hili kwa nini inatokea anaekupenda wewe humpendi na matokeo yake unampenda ambae anakutamani tu lakini hana upendo na wewe na mwisho wa siku anakuumiza? Kwa wasioolewa nimelenga hasa ma she kwa sababu mara nyingi wanafuatwa kwani huwez kumfata he nakumwambia nataka unioe mara nyingi wanaokuja serious unajikuta hujampenda kabisa kabisa mwe!! kwa mtindo huu mtu si unaweza kufa bila kuolewa jamani? Na kingine hivi ni lazima kuolewa? kwani wengine wana mikosi sijui kila anaekufata mwenye nia ya ndoa humpendi humpendi humpendi na kila ukijaribu unashindwa yaani hata sielewi inakuaje :crying::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
Marahabaaaa mtoto mzuri! Kwani umejaribu kumwambia unayempenda kwamba unampenda? Hizi enzi za uwazi na ukweli, we futa aibu mwambie, au onyesha ishara basi ajue una mwelekeo huo! wanaume wengine nao waoga kusema wanapenda.

Kuolewa siyo lazima, ila tunafikiri ni heshima tu kuwa na mume!
 

Unajua Maty, Hii maneno ni kama kwenye maandiko ya vitabu vya dini!!!!
siku zote njia iendayo kwa mungu ni nyembamba na imejaa miba na vizingiti vya kila aina,
lakini ile iendayo kwa shetani iko safi na wala haina miba wala vizingiti!!!!!

mwenye tamaa siku zote huja na mbinu mbadala na lugha tamu sana,
kiasi kwamba kama ni mwanamke unaona kuwa sasa mume si ndio huyu!!!
kwakuwa shida yao ni kugonga na kutambaa, ni lazima ajiandae kwa kuwa na silaha kali za maangamizi ili adui anase mtegoni,
na ndio hapo akina dada huchanganyikiwa,

lakini kwa wale wanaopenda kiukweli siku zote hawanaga haraka, na mawindo yao yako polepole, kwani wanakuwa wanafikiria mustakabali mzima wa hayo mahusiano!!!

Nawasilisha!!!!!!!!!
 
Aisee pole sana Maty hujapata hata mmoja wa kumpenda kwa dhati ana akawa serious??? Kuolewa ni heshima na sio lazima!!!
 
Unapo penda wewe ndo panakuwa sumu lakini pale unapo pendwa wewe unaona kinyaa....pole unaweza jaribu hata mafiga 3 nayo ina aply sana imradi kuche na maisha yasonge mbele
 
The Following User Says Thank You to bacha For This Useful Post:

Maty (Today)​
 
Aisee pole sana Maty hujapata hata mmoja wa kumpenda kwa dhati ana akawa serious??? Kuolewa ni heshima na sio lazima!!!

kwa kweli mpenzi sijawahi pata kila ninaempenda ananizingua tu anakuja kuwa sereious wakati simtaki tena
 
kwa kweli mpenzi sijawahi pata kila ninaempenda ananizingua tu anakuja kuwa sereious wakati simtaki tena

Na sisi tunao weka wazi kuwa lengo langu nikumega tu mbona mnatupiga vibuti?
 
Na sisi tunao weka wazi kuwa lengo langu nikumega tu mbona mnatupiga vibuti?

Umeoa lakini kama umeoa unakaribishwa kugonga halafu uende zako haina shida
 
kwa kweli mpenzi sijawahi pata kila ninaempenda ananizingua tu anakuja kuwa sereious wakati simtaki tena

Unajua Maty, baadhi ya mabinti huwa vigumu kumwelewe kijana anayekuwa mkweli mia kwa mia katika kujenga mahusiano. Mnapenda mchanganyiko wa kweli na kauongo kalikojificha mahali fulani.
 
Umeoa lakini kama umeoa unakaribishwa kugonga halafu uende zako haina shida

Maty pole kwa yote ila mm sitagonga tu ukinikubali nitagonga na kuchukua jumla pia. Please nipm kama uko serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…