Kwa nini iwe tu wachezaji wa Simba ndio wahongwe?Hamuoni kama ni kweli ni udhaifu wa viongozi?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninasikitishwa na kiongozi wa Simba anayemlalamikia kipa kwa eti kuurudisha mpira uwanjani.
Hizi ni lawama za kipumbavu sana na zinakatisha tamaa.
Hazisaidii kuongeza umakini ila zinaleta kutojamini na hatimae kushuka kwa viwango.

Hivi kwa nini iwe kila mara wachezaji wa Simba tu ndio watuhumiwe kuuza mechi?
Wao hawajitambui?
Kwa nini kipa wa yanga asiuze mechi?
Hamuoni kama kweli ni hivyo ni udhaifu wa uongozi?
Binafsi niliwaonya sana kuruhusu mchezaji akatambe eti kuwafunga yanga!! Hivi hamjifunzi kuwa hiyo husababisha timu pinzani kuhamasika na kuhakikisha wanakudhibiti ili wakufunge mdomo!
Hivi mkinyamaza kwenye derbi huwa mnawashwa nini?

Ujinga utawaumiza mashabiki wenzangu wa Simba maana sijui kwa nini mnadanganyika na kelele za msemaji wakati yule ni mchekeshaji hana jipya

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hazisaidii kuongeza umakini ila zinaleta kutojiini na hatimae kushuka kwa viwango.

Hivi kwa nini iwe kila mara wachezaji wa Simba tu ndio watuhumiwe kuuza mechi?
Wao hawajitambui?
Kwa nini kipa wa yanga asiuze mechi?
Hamuini kama kweli ni hivyo ni udhaifu wa uongozi?
Binafsi niliwaonya sana kuruhusu mchezaji akatambe eti kuwafunga yanga!! Hivi hamjifunzi kuwa hiyo husababisha timu pinzani kuhamasika na kuhakikisha wanakudhibiti ili wakufunge mdomo!
Hivi mkinyamaza kwenye derbi huwa mnawashwa nini?

Ujinga utawaumiza mashabiki wenzangu wa Simba maana sijui kwa nini mnadanganyika na kelele za msemaji wakati yule ni mchekeshaji hana jipya

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkuu, ile mechi ndiyo imeshaisha na matokeo nI yale. Timu imepambana na viwango vya timu kwa kiasi fulani vilifanana, ila mwenye bahati zaidi amepata matokeo.

Hii ndiyo soka na mambo yake, haiko pale kwa ajili kukuhurumia, ila iko kwa kukupa furaha au kukunyima furaha. Kukupitisha kipindi kizuri na kipindi kigumu cha giza.

Bado kuna mechi nyingi huko mbele, ikiwemo Derby nyingine. Kwangu, bado tumeianza ligi vizuri, na kikosi kinaonesha kukua zaidi, huku wenzetu wakiwa hawana hatua.

Shabiki yeyote wa soka ni lazima awe mvumilivu, vinginevyo asishabikie soka. Kwa sababu itamtesa sana, soka haina furaha ya kudumu wala huzuni ya kudumu.

Ova
 
Wenzetu wakiwa hawana hatua[emoji849][emoji849]

Yani umefungwa na umeshatoa droo moja unasema mwenzako hana hatua, hivi huoni gap linaanza kuwekwa hapo hizo point 3 utakuja kuzikumbuka usisahau pia point 2 zile za Coastal.
 
Eti wenzetu hawana hatua ila simba wajinga ni wengi sana ukumbuke hiyo derby nyingine yanga atakua kashaingia sokoni kuboresha zaidi kikosi na atakua pia anakuongoza kwa point 5 kama hakutatokea bahati mbaya hapo kati sasa cjui wewe wa shirikisho ulitaka umfunge wa champions league.
 
Simba kumfunga yanga itachukua muda kidogo, Simba wanakaba, wanaonyesha ari, lakini creativity ni sufuri. Wanatengeneza nafasi chache sana, lakini bado siyo nafasi za uhakika.

Anahitajika wing mzuri mwingine zaidi ya kibu, awepo mpanzu, anatokea kushoto then unampata mtu Aina ya kinzumbi wa🔥 halafu unatafuta namba kumi mzuri zaidi ya chama na namba mbili mzuri zaidi ya kapombe, mbona yanga anakufa hata goli 4.

Alichokisema fadlu baada ya mechi ni sahihi, hata yanga wakisajili Tena, Simba wakipata hao watu tu, kuwafunga yanga haitakuwa ni stori.

Nimebahatika kuangalia yanga Bora kuliko hii, so nina uhakika na ninachokisema.
 
Eti wenzetu hawana hatua ila simba wajinga ni wengi sana ukumbuke hiyo derby nyingine yanga atakua kashaingia sokoni kuboresha zaidi kikosi na atakua pia anakuongoza kwa point 5 kama hakutatokea bahati mbaya hapo kati sasa cjui wewe wa shirikisho ulitaka umfunge wa champions league.
Sijakuelewa kabisa. Maana umefanya kurundika maneno tu, huna kituo wala aya. Kama una mtu karibu, msimulie unachotaka kuchangia hapa, kisha aandike kwa niaba yako.

Ova
 
Wenzetu wakiwa hawana hatua[emoji849][emoji849]

Yani umefungwa na umeshatoa droo moja unasema mwenzako hana hatua, hivi huoni gap linaanza kuwekwa hapo hizo point 3 utakuja kuzikumbuka usisahau pia point 2 zile za Coastal.
Labda nimesema kwa namna isiyo ya kiwango chako. Mimi nazungumzia kukua kiwango cha uchezaji, lakini wewe unazungumzia points.

Kama kawaida, nawe unazipenda hesabu nyepesi za kujumlisha points tu, hutaki hesabu ngumu za tafakari ya kiwango cha timu.

Ova
 
Kocha mwenye roho mbaya kama Mourinho au pep guardiola hawezi kusamehe ujinga aliofanya ateba, badala ya kumpasia kibu d easy option unataka kumchenga kipa, yote tu Kisa ulikua unajisifu lazima uwafunge yanga, stupid
Nakubaliana na wewe, Selfishness ya Huyu Ateba imetugharimu sanaa. Bahati mbaya wengi hawamkosoi alafu wanamkosoa Mutale kila siku wakati jana katengeneza Clear chances 2
 
Mkuu, ile mechi ndiyo imeshaisha na matokeo nI yale. Timu imepambana na viwango vya timu kwa kiasi fulani vilifanana, ila mwenye bahati zaidi amepata matokeo.

Hii ndiyo soka na mambo yake, haiko pale kwa ajili kukuhurumia, ila iko kwa kukupa furaha au kukunyima furaha. Kukupitisha kipindi kizuri na kipindi kigumu cha giza.

Bado kuna mechi nyingi huko mbele, ikiwemo Derby nyingine. Kwangu, bado tumeianza ligi vizuri, na kikosi kinaonesha kukua zaidi, huku wenzetu wakiwa hawana hatua.

Shabiki yeyote wa soka ni lazima awe mvumilivu, vinginevyo asishabikie soka. Kwa sababu itamtesa sana, soka haina furaha ya kudumu wala huzuni ya kudumu.

Ova
Ushauri mzur sanaa wenye mashiko na mwenyewe masikio na asikie.
 
Nakubaliana na wewe, Selfishness ya Huyu Ateba imetugharimu sanaa. Bahati mbaya wengi hawamkosoi alafu wanamkosoa Mutale kila siku wakati jana katengeneza Clear chances 2
Pale angempa kibu it was an easy option, ila sijui aliwaza ujinga Gani, nashangaa mashabiki wamekaa kimya kuhusu hili
 
Kocha mwenye roho mbaya kama Mourinho au pep guardiola hawezi kusamehe ujinga aliofanya ateba, badala ya kumpasia kibu d easy option unataka kumchenga kipa, yote tu Kisa ulikua unajisifu lazima uwafunge yanga, stupid
Watu hawataki kuzungumzia hili, lakini lilichaingia pakubwa kuwatoa Simba mchezoni.

Imagine lile goli lingeingia!
 
Ninasikitishwa na kiongozi wa Simba anayemlalamikia kipa kwa eti kuurudisha mpira uwanjani.
Hizi ni lawama za kipumbavu sana na zinakatisha tamaa.
Hazisaidii kuongeza umakini ila zinaleta kutojamini na hatimae kushuka kwa viwango.

Hivi kwa nini iwe kila mara wachezaji wa Simba tu ndio watuhumiwe kuuza mechi?
Wao hawajitambui?
Kwa nini kipa wa yanga asiuze mechi?
Hamuoni kama kweli ni hivyo ni udhaifu wa uongozi?
Binafsi niliwaonya sana kuruhusu mchezaji akatambe eti kuwafunga yanga!! Hivi hamjifunzi kuwa hiyo husababisha timu pinzani kuhamasika na kuhakikisha wanakudhibiti ili wakufunge mdomo!
Hivi mkinyamaza kwenye derbi huwa mnawashwa nini?

Ujinga utawaumiza mashabiki wenzangu wa Simba maana sijui kwa nini mnadanganyika na kelele za msemaji wakati yule ni mchekeshaji hana jipya

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mwamba umeandika UJUMBE MZITO SANA HUU.
 
Bado kuna mechi nyingi huko mbele, ikiwemo Derby nyingine. Kwangu, bado tumeianza ligi vizuri, na kikosi kinaonesha kukua zaidi, huku wenzetu wakiwa hawana hatua.
🤣🤣🤣
Yaleyale anayosema mleta uzi....
 
Back
Top Bottom