Kwa nini iwe tu wachezaji wa Simba ndio wahongwe?Hamuoni kama ni kweli ni udhaifu wa viongozi?

Sijakuelewa kabisa. Maana umefanya kurundika maneno tu, huna kituo wala aya. Kama una mtu karibu, msimulie unachotaka kuchangia hapa, kisha aandike kwa niaba yako.

Ova
Acha hasira shabiki mandazi wewe, yanga sio level yenu hata kidogo team haina hata medali ya caf mwajiita wakubwa
 
Kwahiyo wakati simba akiboresha kikosi kama ambavyo umeeleza ndugu mtoa comment yanga yeye atakua kafungiwa kusajili au?
 
Pale angempa kibu it was an easy option, ila sijui aliwaza ujinga Gani, nashangaa mashabiki wamekaa kimya kuhusu hili
Hivi kwani nyie simba hamuoni kua ile ilikua ni offside,mbona hadi azam walichora mstali kweli simba inabebwa lakini haibebeki.
 
Acha hasira shabiki mandazi wewe, yanga sio level yenu hata kidogo team haina hata medali ya caf mwajiita wakubwa
Labda wakati Simba SC inapata hiyo medali, wewe ulikuwa bado hujaanza kuwa shabiki wa soka, ndiyo maana hujui.

Kwa kuongezea, sio kwa ubaya lakini, ukiwa unaandika jina, anza na herufi kubwa. Sio yanga ni Yanga. Pia, ni CAF sio caf.

Ova
 
Atakuwa anatatizo la afya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…