Kwa nini jengo linapata nyufa

tikok

Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
16
Reaction score
17
Nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili.

1 Nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) /Resho ya kujengea na mitikisiko midogo midogo na hizi nyufa huwa hazifiki kwenye msingi wala kwenda juu usawa wa beam nitaendelea.

2. Nyufa zisizo za kawaida hizi ndio nyufa hatari kwa usalama wa jengo hizi huanza kwenye kuta za juu mpaka kwenye msingi zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha hali hii-
  • Msingi kushindwa kupokea zito wa jengo na kutawanya kwa sawa chini ya ardhi
  • Kujenga msingi kwenye ardhi inayo tanuka na kusinyaa mfano mfinyanzi
  • Matetemeko ya ardhi
  • Kujenga msingi bila kumwaga zege la chini concrete footing
  • Ubora wa tofali
  • Msingi kutoshikamana pamoja hapa zege la jamvi au plinth beam inahusika.
 
Ok namna ya kudhibiti?
 
Endelea kuhusu kudhibiti baada ya kutokea? Na je zina madhara ya kuendelea kuongezeka au?

Kuna nyumba niliona ukuta una nyufa kama hiyo!
 
2. Nyufa zisizo za kawaida hizi ndio nyufa hatari kwa usalama wa jengo hizi huanza kwenye kuta za juu mpaka kwenye msingi zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha hali hii (a)Msingi kushindwa kupokea zito wa jengo na kutawanya kwa sawa chini ya ardhi (b)Kujenga msingi kwenye ardhi inayo tanuka na kusinyaa mfano mfinyanzi (c)Matetemeko ya ardhi (c)Kujenga msingi bila kumwaga zege la chini concrete footing (e) Ubora wa tofali (f)Msingi kutoshikamana pamoja hapa zege la jamvi au plinth beam inahusika.
 
Endelea kuhusu kudhibiti baada ya kutokea? Na je zina madhara ya kuendelea kuongezeka au?

kuna nyumba niliona ukuta una nyufa kama hiyo!
Hizi hazina madhala ila lazima zizibwe kwa sabab zikiachwa huendelea kuna namna nyingi ya kuzibit mojawapo ni kuziba kwa kutumia coftel wire na cement
 
Hakuna sababu moja wala uhakika wa jibu Kuhusu cracking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…