Nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili.
1 Nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) /Resho ya kujengea na mitikisiko midogo midogo na hizi nyufa huwa hazifiki kwenye msingi wala kwenda juu usawa wa beam nitaendelea.
2. Nyufa zisizo za kawaida hizi ndio nyufa hatari kwa usalama wa jengo hizi huanza kwenye kuta za juu mpaka kwenye msingi zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha hali hii-

- Msingi kushindwa kupokea zito wa jengo na kutawanya kwa sawa chini ya ardhi
- Kujenga msingi kwenye ardhi inayo tanuka na kusinyaa mfano mfinyanzi
- Matetemeko ya ardhi
- Kujenga msingi bila kumwaga zege la chini concrete footing
- Ubora wa tofali
- Msingi kutoshikamana pamoja hapa zege la jamvi au plinth beam inahusika.