Kwa nini joto la mwili laweza kubadirika?

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Habari wapendwa wanavamvi.
Naombwa kujuzwa sababu za mwili kuwa wabaridi kiasi tofauti na miaka 5 na 4 ilopita nilikuwa na joto sana kiasi hata nikimsalimia mtu anauliza km naumwa au lah.
Sasa joto lile halipoumri wangu km 30yrs nimeolewa miaka 6 ilopita nina wana wawili.
Naomba majibu yenu mazuri niweze kurejesha maana ni la muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…