Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
- Thread starter
- #101
mbona unatapatapa mara msomi, mara elimu kidogo, mara mama mkwe, mara ndugu watano, mara una madhaifu kwani wewe madhaifu yaako ni mboga? au ni dawa? halafu ungeandika kiswahili tu maana naona hii lugha ya kule kwa mashoga nayo ni tatizo kwako! papara pia unazo sana jifunze kuishi na walimwengu sasa tukushauri kwa lipi?
Ha ha ha ha, thanks sana, naona jinsi ganai usivyokuwa na busara za kumshauri mtu!Kuhusu lugha, ivi wewe unadhani kuongea kiingereza ndo ujanja au kuwa unaelimu sana?Humu JF sio wote wanaojua kiingereza, anyway nsahona unataka mashindano na sio kutoa ushauri. In short we sema unavyoona.