GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Sababu ni mchango wa Serikali?
Ni jitihada za raia wenyewe?
Ni jitihada za raia wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni nyingi za kenya zilixoko Tanzania ni za wazungu na wahindi wa wakenya waafrika chache sanaSababu ni mchango wa Serikali?
Ni jitihada za raia wenyewe?
Lakini hao nao ni Wakenya mkuu! Na sisi Watanzania wenye asili ya Asia na Ulaya wangewekeza kwa wingi nchini Kenya kungeongeza idadi ya kampuni za Watanzania nchini Kenya. Si unaona Mo alivyotutoa kimasomaso? Anapotajwa kama mmoja wa Watanzania tajiri barani Afrika, hawaelezei rangi yake bali Uraia wake tu, kuwa ni Mtanzania!Kampuni nyingi za kenya zilixoko Tanzania ni za wazungu na wahindi wa wakenya waafrika chache sana
Na kwa taarifa ni kwamba mwaka huu mwanzoni waatachia mtaala mpya wa shule ya msingi ambao hauluguswa tokea kipindi cha kibaki.1.Serikali ya Kenya inatoa Elimu inayolingana na nahitaji ya wananchi wake 2.Wananchi wenyewe baada ya kupata Elimu then wanatumia vizuri 3.Serikali Yao inawapa support Kwa manufaa ya Taifa mfano Anglia kwenye riadha utagundua Hilo.3 Raia wanaokaa nje ya Kenya wanasaidia Kuwa inua pale wanahitaji Msaada .Tanzania ni kinyume chake Elimu inayotolewa ni ya kusoma gazeti la Uhuru lakini pia hao viongozi wanahakikisha watoto wao hawasomi hizo shule Kwa sababu wanajua Elimu yenyewe ni bomu.
Ushindani wa huko uta uweza? Lazima mjipange sawa sawaLakini hao nao ni Wakenya mkuu! Na sisi Watanzania wenye asili ya Asia na Ulaya wangewekeza kwa wingi nchini Kenya kungeongeza idadi ya kampuni za Watanzania nchini Kenya. Si unaona Mo alivyotutoa kimasomaso? Anapotajwa kama mmoja wa Watanzania tajiri barani Afrika, hawaelezei rangi yake bali Uraia wake tu, kuwa ni Mtanzania!
Elimu ya Kenya ni kuhoji lakini Tanzania utopolo tuNa kwa taarifa ni kwamba mwaka huu mwanzoni waatachia mtaala mpya wa shule ya msingi ambao hauluguswa tokea kipindi cha kibaki.
Mitaala yao inaendana na mahitaji, dispite of their short coming ni moja ya productive society, while tz mitaala inasoma mambo yasiyo natija karne hii + kutengeneza tegemezi
Elimu ya kenya inamfanya raia ajitambue, awe productive while ya bongo awe tegemeziElimu ya Kenya ni kuhoji lakini Tanzania utopolo tu
Ujamaa kwa third world country ni mzigo. Kenyans walichagua njia nzuri sana ya kuwa karibu na western countries. Tanzania inataka kuwa wajamaa kama China na Russia ilhali hawana nukes waka kura za veto..Elimu ya kenya inamfanya raia ajitambue, awe productive while ya bongo awe tegemezi