Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Wakuu habari.
Naomba niende straight kwenye mada. Nakumbuka miaka imepita kidogo, niliwahi kusoma mahala pameandikwa kuwa Auditing Firms azitakiwi kujitangaza kama aina nyengine za biashara. Siku ya leo nimetaka kuujua undani wa jambo hilo, naona kama nimekwama.
Nimepekua huku na kule patupu, yani sijapata kitu. Nimeona jambo hili nililete kwenu JF maana historia inaoneshe kuwa toka kuumbwa kwa ulimwengu kuwa JF haijawahi kushindwa kitu.
Nawasilisha.