Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
OK, inawezekana Kampuni za aina hiyo zikawa na msamaha wa kodi?Wale ni watoa huduma na siyo wafanyabishara...
NiceSababu n kwamba wakaguzi na Wahasibu wa maswala ya pesa wote wanathibitishwa na Board (NBAA). Kwahio kwa mujibu wa hao watu wa Board, watu wao wote waliowathibitisha wana uwezo wa kufanya ktk kiwango na ubora uliokusudiwa. Kwahiyo ni ruhusu kufanya Tangazo lenye dhumuni la kujitambulisha kwamba unafanya huduma izo na unapatikana vipi. Lakini si ruhusu kufanya tangazo lolote lenye kunasibu ubora wako dhidi ya yeyote maana Board inaamini kwamba wote mnavigezo stahiki ndio maana ikawathibitisha.
Kumbuka hawa wote wanafanya kazi zao kwa mujibu wa Standard zilizowekwa kwaio hakuna aliye bora zaidi. kwaio unaruhusiwa kutoa tangazo lenye kukutambulisha wewe pamoja na huduma unazotoa.
Nice
Jibu linajitosheleza.Sababu n kwamba wakaguzi na Wahasibu wa maswala ya pesa wote wanathibitishwa na Board (NBAA). Kwahio kwa mujibu wa hao watu wa Board, watu wao wote waliowathibitisha wana uwezo wa kufanya ktk kiwango na ubora uliokusudiwa. Kwahiyo ni ruhusu kufanya Tangazo lenye dhumuni la kujitambulisha kwamba unafanya huduma izo na unapatikana vipi. Lakini si ruhusu kufanya tangazo lolote lenye kunasibu ubora wako dhidi ya yeyote maana Board inaamini kwamba wote mnavigezo stahiki ndio maana ikawathibitisha.
Kumbuka hawa wote wanafanya kazi zao kwa mujibu wa Standard zilizowekwa kwaio hakuna aliye bora zaidi. kwaio unaruhusiwa kutoa tangazo lenye kukutambulisha wewe pamoja na huduma unazotoa.