Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
jibu mujarabu uzi ufungwe. yaani ni sawa na mtu anakuita huku anaomba usisikie kwahiyo anatumia sauti ya chiniLengo kuu ni wewe mtumiaji wa hizo dawa usiweze kuona hiyo taarifa ya onyo ili ikitokea kesi au madhara waseme mbona tulikupa onyo
Au anakupigia simu anaombea usiipokee ili abaki na reference kuwa alikupigia na wewe ukute missed call ili ushindwe kumlaumu.jibu mujarabu uzi ufungwe. yaani ni sawa na mtu anakuita huku anaomba usisikie kwahiyo anatumia sauti ya chini
Nimependa mfano wakojibu mujarabu uzi ufungwe. yaani ni sawa na mtu anakuita huku anaomba usisikie kwahiyo anatumia sauti ya chini
ππππππAu anakupigia simu anaombea usiipokee ili abaki na reference kuwa alikupigia na wewe ukute missed call ili ushindwe kumlaumu.
ππππππAu anakupigia simu anaombea usiipokee ili abaki na reference kuwa alikupigia na wewe ukute missed call ili ushindwe kumlaumu.