Kwa Nini Kila maadhimisho ya kitaifa huja tishio la Maandamano?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
788
Reaction score
1,743
Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya majukumu mengine badala ya kulinda na kufatilia nani ataandamana.
 
Watanzania wamejitambua sahivi, wamepuuza kutumika
 
Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya majukumu mengine badala ya kulinda na kufatilia nani ataandamana.
Serikali haramu ya raia feki
 
Back
Top Bottom