kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

kwa nini kila timu ikija kucheza na Simba wanakuja na vyakula vyao na wanapikia ubalozini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimejiuliza sanasanaa
Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika.

Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya.

Cc
Okwi b mpwaaaa.

Soma Pia: Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta
 
Wajina
P. Diddy ni gwiji, na mfalme wa kupindua Kobe, yeyote aliyemtembelea huyu kungwi bin mkunga lazima alipewa huduma....mondiii
Kachafua sana majina yetu siju tunajisagishaje dah zile mafuta nilizozionaaa atakuwa ana dhambi nyingi sana mola kase.ma imetosha
 
Yaani uje ucheze na washirikina, wagomvi, washamba wa mpira alafu uwaruhusu wakupe ugali wao? Simba inatakiwa ipigwe faini
 
Ukicheza na timu kubwa lazima ujipange nje na ndani ya uwanja. Ndio soka la afrika. Ukiona watu wanakuja wamerelax ujue wanacheza na biashara, azam, Yanga na timu nyingine ndogondogo

Timu kubwa inacheza shirikisho. Na kutolewa jasho round ya kwanza tu ya shirikisho.

Timu kubwa inakimbiwa na best players wake kina inonga na chama na wengineo
 
Timu kubwa inacheza shirikisho. Na kutolewa jasho round ya kwanza tu ya shirikisho.

Timu kubwa inakimbiwa na best players wake kina inonga na chama na wengineo
Hujui footbol kaa kimya. Aliondoka mesi Barcelona sembuse mayele Yanga?
 
Hujui footbol kaa kimya. Aliondoka mesi Barcelona sembuse mayele Yanga?

Mayele yanga hakukimbia bali aliuzwa. Pia mayele hakuwa ndie top player wa yanga. Walikuwepo wengine.

Na ndio maana yanga bila mayele imefika mbali champions league kuliko yanga ya mayele
 
Mayele yanga hakukimbia bali aliuzwa. Pia mayele hakuwa ndie top player wa yanga. Walikuwepo wengine.

Na ndio maana yanga bila mayele imefika mbali champions league kuliko yanga ya mayele
Kumbe hata Yanga yenyewe huijui. Mayele wakati anacheza nani alikuwa top player pale zaidi yske? Kwani kuuzwa kwa shinikizo la mchezaji ni nini kama sio kukimbiwa? Feisal alifanyaje pale utopoloni kwenda azam? Wewe bana baki na ushabiki wako masndazi.
 
Back
Top Bottom