Umeanza lini kufatilia mpira wa kiafrica.Nimejiuliza sanasanaa
Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika.
Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya.
Cc
Okwi b mpwaaaa.
Soma Pia: Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta
Kumbe hata Yanga yenyewe huijui. Mayele wakati anacheza nani alikuwa top player pale zaidi yske? Kwani kuuzwa kwa shinikizo la mchezaji ni nini kama sio kukimbiwa? Feisal alifanyaje pale utopoloni kwenda azam? Wewe bana baki na ushabiki wako masndazi.
Wamezoea tabia za ajabu, ndiomana hawaoni haibu kufanya mambo yanayoatarisha usalama wa wapizani wao.Nimejiuliza sanasanaa
Kwanini kwa Simba. Kila timuzanje zikija zinakuja na vyakula vyao Na vyakula wanapikia ubalozin mwa nchi husika.
Nawaza wanaogopa Uchawi, Kulogwa, ama wana taarifa zaidi zinazohusu Simba? kwa nini wakija kucheza na Yanga hakuna mambo kama haya.
Cc
Okwi b mpwaaaa.
Soma Pia: Al-Ahli Tripoli wagomea Gari kubwa, mizigo yote wamepakia kwenye Kenta
Top player is not only about top salary earned bro. Utafeli. Top player means top contribution and importance of a player to the club. Mishahara ni ujanja tu wa mtu katika kunegotiate.Aziz kii ndie top player. Na ushahidi ni kwamba top player huwa analipwa hela nyingi kuliko wengine. Mayele hakuwai mzidi aziz malipo
Hii akili ya kimbumbumbu ni mtaji wetu mkubwa uto.Ukicheza na timu kubwa lazima ujipange nje na ndani ya uwanja. Ndio soka la afrika. Ukiona watu wanakuja wamerelax ujue wanacheza na biashara, azam, Yanga na timu nyingine ndogondogo
Huijui mpira shut up. Liverpool ilisota misimu zaidi ya 30 bila ubingwa wa ligi na bado ni club kubwa sio england tuu Bali duniani. Wewe ulikaa misimu minne mtawalia bila kushinda ligi unachoshangaa nini? Au umeanza kuangalia mpira azam tv?Hii akili ya kimbumbumbu ni mtaji wetu mkubwa uto.
Yaani misimu mitatu simba kombe wanaliona kwa jirani , derby zote ni kukandwa tu na msimu huu simba itashika nafasi ya nne maana kila mwaka inashuka nafasi moja , timu inacheza kombe la ndondo bin loosers, kombe la kina mama ila bado mnajiona wakubwa, kweli Rage anastahili kujengewa sanamu haraka sana!!
Simba mdebwedo inatia aibu sana timu kubwa ina kiwango cha championship!! na bado!!Huijui mpira shut up. Liverpool ilisota misimu zaidi ya 30 bila ubingwa wa ligi na bado ni club kubwa sio england tuu Bali duniani. Wewe ulikaa misimu minne mtawalia bila kushinda ligi unachoshangaa nini? Au umeanza kuangalia mpira azam tv?
Acha bangi kijana...Timu kubwa inacheza shirikisho. Na kutolewa jasho round ya kwanza tu ya shirikisho.
Timu kubwa inakimbiwa na best players wake kina inonga na chama na wengineo
Wale Mikia FC wachawi sana, wanachoma viwanja.Nimejiuliza sanasanaa