Sio kibao cha mbuzi bali ni kibao 'chambuzi'.
Kwa maana kinachambua baina ya nazi na kifuu.
hapo kidogo nimekuelewa siku zote nlikua sijui kabisa shukran
Habari zenu wanajamvi wa jukwaa hili la lugha, husika na kichwa cha habari hapo juu, why waungwana waliamua kukiita kibao cha mbuzi na si cha nazi? mbuzi katumikaje hapo?
Nitashukuru kwa majibu/maoni yenu.
TAFADHALI: usijibu kwa kejeli au matusi,kama hujaelewea ipite post kama ilivyo
nawasilisha
wabongo utawaweza? wanakiita MBUZI huku automatically
Kinaitwa "kibao chambuzi" kazi yake ni kuchambua
Sio kibao cha mbuzi bali ni kibao 'chambuzi'.
Kwa maana kinachambua baina ya nazi na kifuu.