Kwa nini kimeitwa 'kibao cha mbuzi' na si neno jingine?

Kwa nini kimeitwa 'kibao cha mbuzi' na si neno jingine?

kuna njia kadhaa za uundaji wa maneno...moja ya njia hizo ni ile ya ufanano/mwigo yaani maana ya kitu hutokana na kufanana na kitu fulani ambacho kwa hakika huwa na mfanano....kwahiyo mbuzi mnyama anaufana wa karibu na mbuzi kifaa kutokana na mkia wake ule ulio binuka flani....amboa katika ubao ndo sehemu yenyewe ya kukunia nazi.....
NOTE; tusisaha kwamba hizo ni HOMONIMIA yaani maneno mawili yenye umbo moja kuwa na maana mbili tafauti
 
Me ninavyojua kinaitwa MBUZI na sio kibao cha mbuzi/ chambuzi. Kwa walio soma kiswahili watakumbuka katika mitihani au katika somo la kiswahili kulikua na swali la kutoa maana ya neno zaidi ya maana moja mfano; MBUZI 1. Mnyama 2. Kifaa kinachotumika kukunia nazi.
Ninavyofikiri kilipewa neno hilo kutokana na umbo lake lilivyo.
 
HAPA NATANIA TU ;
Labda walioipa jina walilinganisha jinsi kinavyosaga nazi na jinsi kinyesi cha Mbuzi kilivyo.

Ni Kibao chambuzi.
 
Lugha ni sauti za nasibu (tuseme zilizuka tu), huwezi kuhoji kwanini kitu hiki kilipewa jina hili. Ni maneno machache sana ambayo yana mwigo wa umbile au sauti ya kitu halisi....
 
Back
Top Bottom