kuna njia kadhaa za uundaji wa maneno...moja ya njia hizo ni ile ya ufanano/mwigo yaani maana ya kitu hutokana na kufanana na kitu fulani ambacho kwa hakika huwa na mfanano....kwahiyo mbuzi mnyama anaufana wa karibu na mbuzi kifaa kutokana na mkia wake ule ulio binuka flani....amboa katika ubao ndo sehemu yenyewe ya kukunia nazi.....
NOTE; tusisaha kwamba hizo ni HOMONIMIA yaani maneno mawili yenye umbo moja kuwa na maana mbili tafauti