M mr cheto New Member Joined Sep 28, 2026 Posts 3 Reaction score 2 Oct 13, 2026 #1 Hivi ni kwa nini kizazi cha Genz...kinapitia changamoto katika issue nyingi kama vile...mahusiano ya kimapenzi, wafanyakazi walioajiriwa kwa watu binafsi,,,,we unazani nini kinachofanya kizazi hiki kinapitia changamoto.....
Hivi ni kwa nini kizazi cha Genz...kinapitia changamoto katika issue nyingi kama vile...mahusiano ya kimapenzi, wafanyakazi walioajiriwa kwa watu binafsi,,,,we unazani nini kinachofanya kizazi hiki kinapitia changamoto.....
E Elison Ndalichako JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 275 Reaction score 449 Oct 13, 2026 #2 Wanaharakia maisha
S salkam bous Member Joined Oct 3, 2026 Posts 43 Reaction score 71 Oct 13, 2026 #3 Ook ahsante mleta mada mm nafikir usasa umereplace hata kushukuru pendo la AGAPE