Eenh😃umewahi fanya hiyo kazi ya ukonda kwanza? au una notes zake tu
Wote konda na Driver posho kwa pamoja ni Kati ya 30-60, huwa wanagawanaView attachment 3645509
Ukimsikiliza huyu kondakta vizuri unagundua kwa siku ana uwezo wa kulala na 50,000 Tsh mfukoni ambapo kwa mwezi ni kama 1,500,000 Tsh hiyo ni sawa na mshahara wa Daktari aliyesoma miaka 5 pale muhimbili.
Wengine watadai kuwa sio siku zote Kondakta anafanya kazi, basi tufanye ndani ya mwezi kafanya kazi siku 20 tu, akiinguza pesa ya 50,000 kwa siku ni ana 1,000,000 ndani ya hizo siku 20.
Basi wengine watasema pesa haifanani kila siku, au sio siku zote anapata 50,000. Hilo nakubaliana nalo, ipo siku wanalala na zaidi ya 50,000 au chini ya hapo. Kwa makadirio tufanye analala tu na 30,000 kwa siku na amefanya kazi kwa siku 20 tu ni sawa 600,000/= bado ni kama mshahara wa Diploma ya Nurse serikalini.
Unakuta wanapiga pesa ndefu ila maisha yao ni kama tu walala Hoi wakati pesa wanapata... ebu wenye uzoefu fafanueni hii, imekaaje kitaalamu?
Duuh ni stori Tu Mkuu mbona hasira?Washawah kukuomba hela ya kula?
Unawaonea wivu?
Au hujalipwa posho ya kuliwa donat na konda?
Stor za kukashfu kaz halal za wanaume wengine?Duuh ni stori Tu Mkuu mbona hasira?
Punguza makasiriko huu ni uzi tu... mimi nimewaza tu, kama wanapokea 30 kwa siku, kwa mwezi si ni kama 600,000, ambayo ni sawa na mshahara wa mfanyakazi wa serikali...Stor za kukashfu kaz halal za wanaume wengine?
Wote tukiwa na maisha mazuri nani atakua konda, mama ntilie, muuza duka, mkulima, n.k?
Au anazan maisha mazur ni kumilik nyumba kibaha ndanindan na IST ya mkopo?
Tuwe na heshima
Uwenda inatofautina na route na route... huyo konda kwenye video kasema kwa siku wanabaki na 80,000 ambapo wakiwagawana unakuta mtu kwa siku akosi 30,000Sawa tufanye gari inatoka Temeke To Kigogo sokoni, hapo kati anakutana na askari 15 sehemu tofauti na Kila kituo anaacha 2,000 ya kubrashi viatu.
2,000 x 15 = 30,000 hesabu ya siku imepungua tayari.
Mimi makondakta ninaowajua ni mpaka hesabu inafungwa anakuwa na 15,000, muda mwingine 8,000.
Unamatatzo kukaa kujadil pesa wanazoingiza wanaume wenzioPunguza makasiriko huu ni uzi tu... mimi nimewaza tu, kama wanapokea 30 kwa siku, kwa mwezi si ni kama 600,000, ambayo ni sawa na mshahara wa mfanyakazi wa serikali...
Wewe unaleta ukubwa jinga, badala uwe kubwa la maadui, unakuwa kubwa la wajinga
Ndio maana nakwambia wewe ni Kubwa la vichwa panzi yani kubwa la wajinga..Unamatatzo kukaa kujadil pesa wanazoingiza wanaume wenzio
Toka hapo kwa shemej
Únajadili pesa za wanaume wenzio kwa mtindo wa kukejel et ndogo, ww ni mke wake mpaka useme ndogo?Ndio maana nakwambia wewe ni Kubwa la vichwa panzi yani kubwa la wajinga..
Kujadilo pesa wanazoingiza wenzetu ni nanmna ya kujifunza.... Mwanaune husipojadili pesa unataka ujadili nini, au unataka ujadili umbea na ushankupe
Alafu usidhani kila mtu anakaa kwa shemeji kama wewe unavyokaa hapo kwa Shemeji yako, wengine sisi ndo mashemeji wenyewe
Siku nyingine kama mada haikuhusu au uwezi kutoa maoni yenye tija, pita kushoto nenda katafute Post zinazokufaha kuliko kuleta ushubwada hapa
Hawapokei 30 kwa sikuPunguza makasiriko huu ni uzi tu... mimi nimewaza tu, kama wanapokea 30 kwa siku, kwa mwezi si ni kama 600,000, ambayo ni sawa na mshahara wa mfanyakazi wa serikali...
Wewe unaleta ukubwa jinga, badala uwe kubwa la maadui, unakuwa kubwa la wajinga
🙌🙌🙌Únajadili pesa za wanaume wenzio kwa mtindo wa kukejel et ndogo, ww ni mke wake mpaka useme ndogo?
Alishindwa kukupa huduma za msingi mpaka useme ndogo na maisha yao sio mazur?
Ulikua na bwana konda akashindwa kukuhonga kama ulivotegemea ndo kilicho fanya ulete Uzi?
Au wivu wa kike unakusumbua?