Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Sio guarantee utapata kila siku ila nimewahi fanya iyo kazi miezi miwili hivi nasubiri kwenda internship nilikua napiga za za makumbusho/nyuki hela ipo nilitamani hadi internship niiskip kwa mwaka huo sikumbuki kama kuna siku nililala na pungufu ya 20k tshs ila ndio hivyo jiji letu hili pia madereva na Makonda ndio tunaongoza kwa kuwaweka single mothers na madanga mjini