Kwa nini kuna watu wanachukia Marekani kutetea maslahi yake?

Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?

Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
Wanaichukia lakini ukiyaona yanavyolundikana ubalozini kung'ang'ania kuomba visa. Huyaoni kabisa balozi za Iran na Urusi
 
Nchi za magharibi ikiwemo Marekani zinachukiwa na baadhi ya mataifa (regimes). Lakini, nchi hizohizo zinazochukiwa ndio zimekuwa makimbilio ya raia wa mataifa mengi ambayo miongoni mwa hayo ni hayohayo yanayoongoza kuzichukia nchi za magharibi.

Ama ndio ule msemo wa waswahili kuwa; baniani mbaya, kiatu chake dawa?
 
Cha ajabu ni kuwa unaweza kukuta unamkosoa Urusi kwa anachofanya pale ukraine

Huku ukisahau hayo maslahi yake

Ndugu zangu tupambaneni na mambo ya nchi yetu wale weupe tuwaache.
kuwa timamu , maslai ya urusi hayatuhusu baadhi yetu ila tunajali usalama wa dunia , hii tabia ya kuvamiana ikikua wanaofuatia kuvamia ni mataifa ya Afrika wenyew , USA alikuwa anafuta taratib hata kama alikuwa anadanganya ila sio mfumo wa Urusi kuvamia huku aniwekea dunia biti kali aya na Kesho China akifanya hivyo then USA akafanya the same pia India akifanya the same., hv nyiny kima mtakuwa salama mnaweza kuwakabili hao wakubwa ? kituko nyiny kima ndo mnashabikia hii tabia ya kuvamiana , ndio maana bado tunaonekana kama sio viumbe kamili huko duniani sabab hatujui tunataka nn , sisi ni bendera fuata upepo tu
 
Umeandika pumba sana ila kwa vile umetumia mipasho naamua kukupuuza

Na kwa kukushauri tu sio kama siwezi kukuita majina ya kukukera ila sina stress za kumalizia kwako

Wewe unaonekana una stress unatafutia faraja hapa JF haya endelea na kazi utatunukiwa.
 
kuwa timamu , maslai ya urusi hayatuhusu baadhi yetu ila tunajali usalama wa dunia , hii tabia ya kuvamiana ikikua wanaofuatia kuvamia ni mataifa ya Afrika wenyew , USA alikuwa anafuta taratib hata kama alikuwa anadanganya ila sio mfumo wa Urusi kuvamia huku aniwekea dunia biti kali aya na Kesho China akifanya hivyo then USA akafanya the same pia India akifanya the same., hv nyiny kima mtakuwa salama mnaweza kuwakabili hao wakubwa ? kituko nyiny kima ndo mnashabikia hii tabia ya kuvamiana , ndio maana bado tunaonekana kama sio viumbe kamili huko duniani sabab hatujui tunataka nn , sisi ni bendera fuata upepo tu
Kwenye kutafuta maslahi yako hakuna kufata tatatibu wala nn wewe fuata tuu

Yaani unasema kama us alifata utaratibu ingawaje alidanganya alifata utaratibu upi wakat tayar huko kudanganya kunamtoa kwenye huo uitwao utaratibu

maadam us yupo tayar kudanganya ili kutetea maslahi yake basi UCHINA RUSSI na wengine watetee tu maslahi yao kivyovyote vile wakiona inawapendeza tutawasapoti

Umekoment ukaona umekoment lamaana eti anadanganya halaf anafata utaratibu [emoji16][emoji23][emoji16]
 
Nashangaa kabisa. Kila wakati wako upande wa adui wa Marekani lakini wakiulizwa wanapenda kuishi wapi, bila haya wanasema ni Marekani!!

Wana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.

Usichanganye mzee
 
Maslahi ya mataifa lazima yazingatie "rules based International order". Yasipozingatia hivyo lazima yakosolewe na kupingwa. Kila taifa likisema livamie taifa lingine kwa sababu ya maslahi yake binafsi au liue/likandamize baadhi ya jamii zake dunia itakuwa uwanja wa fujo na dhiki kubwa sana.
Cha ajabu ni kuwa unaweza kukuta unamkosoa Urusi kwa anachofanya pale ukraine

Huku ukisahau hayo maslahi yake

Ndugu zangu tupambaneni na mambo ya nchi yetu wale weupe tuwaache.
 
Hauli Nguruwe ila unakunywa mchuzi wake.
Chichidodo nyie.
Wana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.

Usichanganye mzee
 
Maslahi ya mataifa lazima yazingatie "rules based International order". Yasipozingatia hivyo lazima yakosolewe na kupingwa. Kila taifa likisema livamie taifa lingine kwa sababu ya maslahi yake binafsi au liue/likandamize baadhi ya jamii zake dunia itakuwa uwanja wa fujo na dhiki kubwa sana.
Je Iraq,Syria,Afghanstan n.k wao wana haki ya kuvamiwa eeh

Ila wengine hawana haki ya kuvamiwa.
 
Afghanistan Taliban waliambiwa wawakabidhi Osama na Al Qaeda yake waliokiri kufanya ugaidi wa September 11 lakini Taliban walikataa, walionza kutangaza vita walikuwa ni Al Qaeda.

Syria imeingia vitani katika wimbi la Araba spring kwa sababu ya udikteta wa Bashar Al-Asaad, majeshi ya nje yalienda kutuliza hali iliyochafukia na ikiwezekana kumng'oa kwa sababu yeye na utawala wa miaka 40 wa familika yake ndio chanzo cha machafuko Syria.

Uvamizi wa Iraq ulikuwa wa hovyo na ulipingiwa na watu wengi hata huko West kwenyewe mfano kina Nancy Pelosi, Bernie Sanders, Jeremy Corbyn hadi na baadhi ya wakuu wa majeshi wa zamani.
 
Wana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.

Usichanganye mzee
US hakuna demokrasia kungekua na demokrasia zingeheshimiwa kura za raia kuliko za wale wachache wa electro

US ndio inaongoza kwa ufikteita
 
Afghanistan Taliban waliambiwa wawakabidhi Osama na Al Qaeda yake waliokiri kufanya ugaidi wa September 11 lakini Taliban walikataa, walionza kutangaza vita walikuwa ni Al Qaeda.

Syria imeingia vitani katika wimbi la Araba spring kwa sababu ya udikteta wa Bashar Al-Asaad, majeshi ya nje yalienda kutuliza hali iliyochafukia na ikiwezekana kumng'oa kwa sababu yeye na utawala wa miaka 40 wa familika yake ndio chanzo cha machafuko Syria.

Uvamizi wa Iraq ulikuwa wa hovyo na ulipingiwa na watu wengi hata huko West kwenyewe mfano kina Nancy Pelosi, Bernie Sanders, Jeremy Corbyn hadi na baadhi ya wakuu wa majeshi wa zamani.
Kama wahovyo wairejeshe IRAQ kama ilivyokua zamani

Kila taifa lina haki yakutetea maslahi yake kama walivyofanya NATO kule IRAQ
 
Back
Top Bottom