Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kabisa!!Cha ajabu ni kuwa unaweza kukuta unamkosoa Urusi kwa anachofanya pale ukraine
Huku ukisahau hayo maslahi yake
Ndugu zangu tupambaneni na mambo ya nchi yetu wale weupe tuwaache.
Wanaichukia lakini ukiyaona yanavyolundikana ubalozini kung'ang'ania kuomba visa. Huyaoni kabisa balozi za Iran na UrusiKwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?
Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
Nashangaa kabisa. Kila wakati wako upande wa adui wa Marekani lakini wakiulizwa wanapenda kuishi wapi, bila haya wanasema ni Marekani!!Wanaichukia lakini ukiyaona yanavyolundikana ubalozini kung'ang'ania kuomba visa. Huyaoni kabisa balozi za Iran na Urusi
Masrahi yake ni yapi?Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?
Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
Masrahi tena, ndiyo nini??Masrahi yake ni yapi?
kuwa timamu , maslai ya urusi hayatuhusu baadhi yetu ila tunajali usalama wa dunia , hii tabia ya kuvamiana ikikua wanaofuatia kuvamia ni mataifa ya Afrika wenyew , USA alikuwa anafuta taratib hata kama alikuwa anadanganya ila sio mfumo wa Urusi kuvamia huku aniwekea dunia biti kali aya na Kesho China akifanya hivyo then USA akafanya the same pia India akifanya the same., hv nyiny kima mtakuwa salama mnaweza kuwakabili hao wakubwa ? kituko nyiny kima ndo mnashabikia hii tabia ya kuvamiana , ndio maana bado tunaonekana kama sio viumbe kamili huko duniani sabab hatujui tunataka nn , sisi ni bendera fuata upepo tuCha ajabu ni kuwa unaweza kukuta unamkosoa Urusi kwa anachofanya pale ukraine
Huku ukisahau hayo maslahi yake
Ndugu zangu tupambaneni na mambo ya nchi yetu wale weupe tuwaache.
Umeandika pumba sana ila kwa vile umetumia mipasho naamua kukupuuzakuwa timamu , maslai ya urusi hayatuhusu baadhi yetu ila tunajali usalama wa dunia , hii tabia ya kuvamiana ikikua wanaofuatia kuvamia ni mataifa ya Afrika wenyew , USA alikuwa anafuta taratib hata kama alikuwa anadanganya ila sio mfumo wa Urusi kuvamia huku aniwekea dunia biti kali aya na Kesho China akifanya hivyo then USA akafanya the same pia India akifanya the same., hv nyiny kima mtakuwa salama mnaweza kuwakabili hao wakubwa ? kituko nyiny kima ndo mnashabikia hii tabia ya kuvamiana , ndio maana bado tunaonekana kama sio viumbe kamili huko duniani sabab hatujui tunataka nn , sisi ni bendera fuata upepo tu
Kwenye kutafuta maslahi yako hakuna kufata tatatibu wala nn wewe fuata tuukuwa timamu , maslai ya urusi hayatuhusu baadhi yetu ila tunajali usalama wa dunia , hii tabia ya kuvamiana ikikua wanaofuatia kuvamia ni mataifa ya Afrika wenyew , USA alikuwa anafuta taratib hata kama alikuwa anadanganya ila sio mfumo wa Urusi kuvamia huku aniwekea dunia biti kali aya na Kesho China akifanya hivyo then USA akafanya the same pia India akifanya the same., hv nyiny kima mtakuwa salama mnaweza kuwakabili hao wakubwa ? kituko nyiny kima ndo mnashabikia hii tabia ya kuvamiana , ndio maana bado tunaonekana kama sio viumbe kamili huko duniani sabab hatujui tunataka nn , sisi ni bendera fuata upepo tu
Nashangaa kabisa. Kila wakati wako upande wa adui wa Marekani lakini wakiulizwa wanapenda kuishi wapi, bila haya wanasema ni Marekani!!
Kuna nchi haitaki kuwa ushawishi dhidi ya nchi nyingine?Wana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.
Usichanganye mzee
Cha ajabu ni kuwa unaweza kukuta unamkosoa Urusi kwa anachofanya pale ukraine
Huku ukisahau hayo maslahi yake
Ndugu zangu tupambaneni na mambo ya nchi yetu wale weupe tuwaache.
Wana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.
Usichanganye mzee
Je Iraq,Syria,Afghanstan n.k wao wana haki ya kuvamiwa eehMaslahi ya mataifa lazima yazingatie "rules based International order". Yasipozingatia hivyo lazima yakosolewe na kupingwa. Kila taifa likisema livamie taifa lingine kwa sababu ya maslahi yake binafsi au liue/likandamize baadhi ya jamii zake dunia itakuwa uwanja wa fujo na dhiki kubwa sana.
Afghanistan Taliban waliambiwa wawakabidhi Osama na Al Qaeda yake waliokiri kufanya ugaidi wa September 11 lakini Taliban walikataa, walionza kutangaza vita walikuwa ni Al Qaeda.Je Iraq,Syria,Afghanstan n.k wao wana haki ya kuvamiwa eeh
Ila wengine hawana haki ya kuvamiwa.
US hakuna demokrasia kungekua na demokrasia zingeheshimiwa kura za raia kuliko za wale wachache wa electroWana mifumo mizuri ya sera ya ndani one na democrasia open. Lakini sera yake ya kimataifa (hegemony) ndo inayopingwa na hao watu.
Usichanganye mzee
Kama wahovyo wairejeshe IRAQ kama ilivyokua zamaniAfghanistan Taliban waliambiwa wawakabidhi Osama na Al Qaeda yake waliokiri kufanya ugaidi wa September 11 lakini Taliban walikataa, walionza kutangaza vita walikuwa ni Al Qaeda.
Syria imeingia vitani katika wimbi la Araba spring kwa sababu ya udikteta wa Bashar Al-Asaad, majeshi ya nje yalienda kutuliza hali iliyochafukia na ikiwezekana kumng'oa kwa sababu yeye na utawala wa miaka 40 wa familika yake ndio chanzo cha machafuko Syria.
Uvamizi wa Iraq ulikuwa wa hovyo na ulipingiwa na watu wengi hata huko West kwenyewe mfano kina Nancy Pelosi, Bernie Sanders, Jeremy Corbyn hadi na baadhi ya wakuu wa majeshi wa zamani.