Kwa nini kuna watu wanachukia Marekani kutetea maslahi yake?

Je waliofanya huo uvamizi wa hovyo huko Itaq wameshachukuliwa hatua au imeishia kwenye kulaani tu

Na kama majeshi ya nje yanaona ni vema kuingilia nchi nyingine ili kutetea raia wa nchi husika

Mbona hawaendi Congo,Msumbiji ili wasaidie wananchi wanaoteseka maeneo hayo

Lakini pia mbona hayo majeshi hayajaingia moja kwa moja pale Ukraine ili wamsaidie kuliko kuishia kulaani na kuweka vikwazo.
 
Kwa nini watu huilaumu Marekani kwa kutetea maslahi yake Ulimwenguni? Kwani kuna nchi inakatazwa kutetea maslahi yake dhidi ya nchi nyingine?

Kwani kuna ulazima gani wa kuwa Rafiki wa Marekani au kutii maagizo yake??
Kwa nini umekua unapinga Russia ikitetea maslahi yake/usalama wake for future generation hapo Ukraine?

Ukiweza kujibu hilo ndio vivyo hivyo watu wanaoipinga USA, kila mtu ana mtazamo wake huwezi kuitetea USA kwamba inatetea maslahi yake hata kwa kutumia nguvu ya kijeshi wakati huo huo unaipinga Russia kutetea maslahi yake kwa kutumia nguvu za kijeshi.
 
US hakuna demokrasia kungekua na demokrasia zingeheshimiwa kura za raia kuliko za wale wachache wa electro

US ndio inaongoza kwa ufikteita
Shujaa Mwendazake,rejea ule uchaguzi wa Hirary Clinton.
 
Jamaa kakukandamiza na kitu kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…