Kwa nini kupanda kwa uchumi wa nchi nyingi za Africa ikiwamo Tanzania hakuendani na maisha ya wananchi?

Kwa nini kupanda kwa uchumi wa nchi nyingi za Africa ikiwamo Tanzania hakuendani na maisha ya wananchi?

Mbona maendeleo yanaonekana kwa macho kabisa. Ukilinganisha na zamani sasa hivi miji inapanuka na kukua kutokana na kuongezeka vipato vya watu. Siku hizi watu wengi zaidi wanamudu kumiliki nyumba nzuri magari kulinganisha na zamani.
 
sasa mtu ana smart4ne Kila siku lazima atumie zaidi ya 1000 alafu hana kazi unategemea hizi esabu Zikiletwa hapa
C+I+G+(x-M) iache sema kuwa uchumi umekaa
 
Mbona maendeleo yanaonekana kwa macho kabisa. Ukilinganisha na zamani sasa hivi miji inapanuka na kukua kutokana na kuongezeka vipato vya watu. Siku hizi watu wengi zaidi wanamudu kumiliki nyumba nzuri magari kulinganisha na zamani.
Ndugu unaposema hvyo inatakiwa kujua unachosema kina ukweli kiasi gani ni kweli hakuna aliyesema hakuna kabisa nitakuwa muongo kusema hvyo lakini swali la kujiuliza kama haki yako ni kupata 1000 lakini ukapewa 10 je utajisifu ww au anayetakiwa kujisifu ni yule aliyekupa 10 badala ya 1000?

Duniani zipo shuguli tatu ambazo binadamu wote tunajiushisha nazo kujiingizia kipato
1 Biashara
2 Kilimo
3 Wafanyakazi(Employee)

Ukiangalia katika shughuli hzo za kujiingizia kipato tunaambiwa Tanzania 75% wanategemea kilimo kama source yao ya mapato je wafanyabiashara na wafanyakazi ni wangapi?

Hya ukiangalia katika ulipaji wa kodi kundi ambalo wanalipa kodi ni wafanyakazi na wafanyabiashara wakulima sidhani hata kama wanalipa ni kidogo sana je Tanzania kuna wakulima wangapi wenye uwezo wa kulipa kodi? zaidi ya 70% ya watanzania wanaishi chini ya kipato cha dola 2 sasa hapa ukisema 70% ya watu milioni 50 ni watu wangapi haya wenye uwezo wa kujenga nyumba nzuri ni wangapi? ikiwa 67.9% wanaishi kwenye umasikini yani matumizi ya dola 1.90 je hawa wanauwezo wa kujenga nyumba nzuri? haya 68.39 % wanaishi vijijini je ni vijiji vingapi vina watu wenye uwezo wa kujenga nyumba nzuri?
 
Mkuu Malcom Lumumba maoni yako pia ni muhimu katika kujua Tanganyika tumekwama kwapi kiuchumi wakati kila mwaka mnaambiwa uchumi unakua kwa kasi lakini mitaani uchumi unapungua kwa kasi

Mkuu Izzo hongera kwa uzi mzuri kaka.
Nilikuwa na pilika za safari lakini nimerudi na kutulia.
Muda wowote kutoka sasa ntachangia....................
 
Umejaribu kuandika vitu viingi ili uonekane unajua na sio ku address issues. Yan kufupi blah blah nyiingi.
Wewe umefanana zaidi na Dr Genuine Martin former UDSM assistant lecturer. Maana naye akikukufindisha, hakufundishi ili wewe uelewe. Atamwaga vitu viiiingi ili aonekane anajua na mwisho wa cKu ku confuase tu wanafunzi.
 
Ndugu huwezi kuzungumzia Maendeleo ya kiuchumi bila ya ukuaji wa kiuchumi

Maendeleo ya Kiuchumi(Economic development ) inahusisha kupanda kwa kiwango cha uzalishaji katika uchumi pamoja na maendeleo ya teknolojia, kuboresha viwango vya maisha na kadhalika.lakini yote ufanyika baada ya stage ya kwanza ya Economic Growth (Ukuaji wa kiuchumi) reflection za Economic Growth ndio tunakuja kuziona kwenye Economic development kama final product

Ukuaji wa uchumi (Economic Growth)ni mchakato wa moja kwa moja. Tofauti na maendeleo ya kiuchumi(Economic development), ambayo ni matokeo ya shughuli zinazopangwa na matokeo ya Ukuaji wa Uchumi (Economic Growth)

Ukuaji wa uchumi (Economic Growth) unaweza kupimwa wakati kuna mabadiliko mazuri katika mapato ya kitaifa, ambapo maendeleo ya kiuchumi (Economic development) yanaweza kuonekana wakati kuna ongezeko la mapato halisi ya kitaifa so hatuwezi kuzungumzia maendeleo ya kiuchumi wakati hakuna Ukuaji wa kiuchumi (Economic Growth)

Ukuaji wa uchumi ni mchakato wa muda mfupi unaozingatia ukuaji wa uchumi wa kila mwaka. Lakini ikiwa tunazungumzia juu ya maendeleo ya kiuchumi ni mchakato wa muda mrefu na unahusisha vitu vingi sana ambapo ndipo kinapatikana kitu kinachoitwa Maendeleo kiujumla nimesema kuna vitu vitatu
1 UCHUMI
2 MAENDELEO
3 NGUVU YA SARAFU

Economic development(Maendeleo ya kiuchumi) inatumika katika nchi zinazoendelea ili kupima ubora wa maisha kumbuka katika nchi zinazoendelea hata China na India zipo lakini Economic development(Maendeleo ya kiuchumi) inatumika katika nchi zilizoendelea kupima maendeleo
Ukuaji wa uchumi (Economic Growth) unaweza kupimwa kwa kipindi fulani. Kinyume na maendeleo ya kiuchumi(Economic development) ni mchakato unaoendelea ili uweze kuonekana na unachukua muda mrefu hata China wanazungumzia Ecomonic Growth so huwezi kuleta excuse ya kutokuonekana ukuaji wa uchumi kwa wananchi wa wakaida eti kwa vile tupo katika Ukuaji wa kiuchumi si Maendeleo ya kiuchumi na kama unasubiri Maendeleo ya kiuchumi hili tuweze kuona matunda ya ukuaji wa kiuchumi Trust me huwezi kuyaona hasa kwa nchi za Kiafrica rabda miaka 200 ijayo
Economic growth is increase of output and income.

There is no universally agreed defination of Economic Development. However ninayoitumia mimi ni ya Economic development is kind of economic growth which develop the country productivity capacity (na sio kuongeza production). Production can be increased by population growth lakini productivity capacity inaongezwa na Technology.

GDP does not inform countries economic development but inainform growth.

The very bad thing about economic measurements ni kwamba they are based on averaging. Guinea besau baada ya resource bonanza la 1996 per capita income yake ilikuwa kuliko hata ya china na mar3kani but the country didnt advannce productivity yake but rather it was just an increase of production.

African country are poor because they have poorly informed policy maker or hawapo kabisa. Kwamfano of all the sector ulizoolozesha hapo 4 kati ya 5 ni service trade, lakini kwa tanzania hakuna policy au initiative yoyote kwenye maswala ya trade in service, another thing this is a sign of premature deindustrization, moving to service trade before industrization. All the developed world they become hapo walipo kwa industry. We need high tech industry sio viwanda vya cherehani 4 na vibiriti.
 
Back
Top Bottom