Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Mar 27, 2026 #1 Nini hasa sababu za wana CCM kutotakiwa kutaka, kujipanga au kuonyesha nia ya kuutaka au kugombea urais 2030?
Nini hasa sababu za wana CCM kutotakiwa kutaka, kujipanga au kuonyesha nia ya kuutaka au kugombea urais 2030?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 29, 2026 #2 Kuna watu ni kama wana hati miliki ya nchi... Cc: Mahondaw