Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nangojea masheikh ubwabwa kwa utuvuuu!!Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya
Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.
Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.
Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.
Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.
Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.
Anayesa hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.
Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Pale kanisani alikwenda kuswali??Yani huyo mzee muislam alikera sana kutoa kauli Ile sijui alivurugikiwa
Aache uongo! Wala hawakukaa kimya walitii Sheria iliyokuwepo! Kama anataka kulinganisha na wakati huu ebu atumie akili kidogo, mkataba huu unapingana na sheria zilizopoWalinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya
Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.
Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.
Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.
Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.
Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.
Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.
Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Kwako... Mwaipopo!!Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya

Sheria gani iliyokuwepo??Aache uongo! Wala hawakukaa kimya walitii Sheria iliyokuwepo!
Nimekulia katika Usabato, sikuwahi kuona asiye Msabato akialikwa kutoa neno mimbarani. Ilikuwa marufuku hata Kwa wanawake kuhubiri kama ilivyo kwenye 1Wakor 14:34. Wakati Kanisa likijisimamia wageni wa heshima walikuwa Wachungaji toka Kanisa au Mtaa mwingine. Leo wasabato wamekuwa wa kualika (wa Mataifa) kutoa neno Kanisani? Atakuhubiri nini Mtu asiyeamini Sawa na wewe? Au Wasabato na nyie mmesahau Ujumbe wa Malaika 3 mmeanza kutafuta utukufu wa kidunia?Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya
Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.
Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.
Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.
Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.
Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.
Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.
Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Ajabu sana.Nimekulia katika Usabato, sikuwahi kuona asiye Msabato akialikwa kutoa neno mimbarani. Ilikuwa marufuku hata Kwa wanawake kuhubiri kama ilivyo kwenye 1Wakor 14:34. Wakati Kanisa likijisimamia wageni wa heshima walikuwa Wachungaji toka Kanisa au Mtaa mwingine. Leo wasabato wamekuwa wa kualika (wa Mataifa) kutoa neno Kanisani? Atakuhubiri nini Mtu asiyeamini Sawa na wewe? Au Wasabato na nyie mmesahau Ujumbe wa Malaika 3 mmeanza kutafuta utukufu wa kidunia?
Mkuu kuna watu wanaishi bila akili!Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.
Kulikuwa na sheria ya kutaifisha mali ambayo pia ilitaifisha mabenki. Jina nimelisahau!Hapa Iringa shule za Kanisa maarufu
Sheria gani iliyokuwepo??
Kanisa liliporwa mali zake na wanasiasa.
Walipewa mchango wa ujenzi wa Kanisa Mil.10 na mgeni wao katika Imani.Ajabu sana.
Kati ya watu waliokuwa wanasimama na Bibilia wakati wote walikuwa ni wasabato.
Naona wanasiasa walikuwa wanatafuta jukwaa la kupambana na watoa waraka, wakapewa na wasabato.
Jee wasabato WALE walipewa nini kama Zawadi yao ya kukubali mimbari yao kutumiwa na wanasiasa?
Sawa.Kulikuwa na sheria ya kutaifisha mali ambayo pia ilitaifisha mabenki. Jina nimelisahau!
Hivi vile vipande thelathini vya pesa alivyopewa YUDA ISKARIOT havina thamani sawa kweli na hizo milioni kumi??Walipewa mchango wa ujenzi wa Kanisa Mil.10 na mgeni wao katika Imani.
Ukiona hivyo wewe sikiliza wimbo wa RomaWalinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya
Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.
Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.
Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.
Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.
Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.
Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.
Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Yaani ni kama kuwaza tofauti na wao ni dhambi kubwa sana inayohitaji adhabu.Akina JK huwa wanajiona Tanzania ni kama mali yao binafsi wengine wote ni wapangaji
Wajinga sn wanadhani hatuna akiliYaani ni kama kuwaza tofauti na wao ni dhambi kubwa sana inayohitaji adhabu.
Sheria ilitungwa ili njia zote kuu za uchumi kuwa mali ya umma na ndipo lilizaliwa Azimio la Arusha. Kumbuka hata viongozi na watumishi wa umma walizuiwa kuwa na nyumba za kupangisha. Waarabu na wahindi walitaifishiwa nyumba zao zilizozidi thamani ya kitu kama laki moja na kukabidhiwa NHC.Sawa.
Kosa la Kanisa lilikuwa nini?
Maana huwezi kutaifisha kitu cha mtu bila ya mtu huyo kuwa na kosa!!