Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

Kilichosainiwa na Magufuli ni ngumu sana kukipuuza, jamii itakuzomea mpaka ukome, muulize Makamba alipoleta tantarila kwenye bwawa.
 
Kilichosainiwa na Magufuli ni ngumu sana kukipuuza, jamii itakuzomea mpaka ukome, muulize Makamba alipoleta tantarila kwenye bwawa.
Kitu gani unazungumzia??

Maana sielewi ni nini kilichosainiwa na magufuli.
 
Hzi mali nyingi zilitaifishwa kuanzia mwaka 1972.

Lakini Kwa Nini zilitaifishwa?
 
Hzi mali nyingi zilitaifishwa kuanzia mwaka 1972.

Lakini Kwa Nini zilitaifishwa?
Mali zilianza kutaifishwa mwaka 1967 na sababu nimekwisha kueleza kuwa Azimio la Arusha lilitaka njia kuu zote za uchumi kuwekwa chini umiliki wa umma. Kwa hiyo nyumba, viwanda, mabenki, shule, hospitali, mashamba nk yalitaifishwa!
 
Azimio la Arusha lilitangazwa mwaka 1967 Lakini mashule na Hospitali za Kanisa zilichukuliwa mwaka 1972.
 
Azimio la Arusha lilitangazwa mwaka 1967 Lakini mashule na Hospitali za Kanisa zilichukuliwa mwaka 1972.
Sasa unachobisha ni nini? Siyo kwamba baada ya tangazo vitu vyote viliwekwe chini ya serikali, kulikuwa na mchakato ambao ulitakiwa kukamilika. Moja ya vitu hivyo ni fedha za kuendeshea pamoja na kuwaingiza watumishi wa hizo shule,hospitali, mashamba, migodi nk katika ajira za serikali.
 
Sasa unachobisha ni nini?
Imekuwaje umeona nabisha? Kwa nini watanzania tunapenda kuona watu wenye mawazo tofauti na sisi kuwa wanabisha?

Utaifishaji Wa shule na Hospitali za Kanisa haukutokea kutokana na Azimio la Arusha.

Historia haisemi hivyo!!
 
Zuzu wewe
 
Sasa kama unajua kwa nini usieleze? Kwani unatoa interview?
 
Alowanyanganya si alikua mgalatia mwenzenu lakini?

Mbona mliogopa kumwambia kipindi hicho halafu akaja Muislamu akawrudishia

Jaribuni kuwaheshimu waislamu enyi wagalatia
 
Alowanyanganya si alikua mgalatia mwenzenu lakini?

Mbona mliogopa kumwambia kipindi hicho halafu akaja Muislamu akawrudishia

Jaribuni kuwaheshimu waislamu enyi wagalatia
Huyo Muislam ni nani na alirudisha nini??

Hakuna dini ya wagalatia duniani. JIELIMISHE!!
 
Ukisema hivyo utakwama bwana mdogo. Hivyo vishule na vizahanati vya makanisa walivyojengewa na nchi za Magharibi ni cha mtoto.
Waiaslam nao watadai yafuatayo:
1. Fursa zote serikalini zigawanywe pasu kwa pasu baina ya waislamu na wakristo kwa kuwa ndo waliotoa mchango mkubwa katika kupigania uhuru wa nchi hii

2. Nyumba zote za NHC zilizotaifishwa kutoka kwa waislamu zirejeshwe.
3. Ikulu ya DSM pamoja na hospitali ya ocean road virejeshwe upesi kwa waislamu kwani ni mali yao.
4. Hospitali ya Muhimbili ikabidhiwe kwa waislamu haraka sana kwani ni mali yao na wao ndo walioianzisha.
5. Kiwanja cha kanisa katoliki pale posta azania front kirejeshwe kwa waislamu kwani ulikuwa ni msikitini ila wakoloni wa kikristo walichukua na kukabidhi kwa wakatoliki kwa dhulma.
Kwa hiyo dogo tualia haya mambo yamekaa kimtego.
 
Wewe unasikiliza porojo sio.

Watu Wa Aga Khan unaamini ni waislam??

Halafu Kwa nini ajira zigawanywe kwa kufuata misingi ya dini? Kule Zanzibar nako itawezekana?

Hivyo unavyoviita vizahanati na Vishule unajua ndiyo vimeiendeleza Taganyika??

Yaani zile haditihi kuwa wahindi waliataifishiwa majumba walikuwa ni waislam umezikariri??

Wakati Kanisa kama taasisi walinyang'anywa mali zao, hao unaowaita "waislam" hawakuwa Taasisi.
 
Hao hawawezi kuwa Wasabato. Nawafahamu vema hao watu. Hao ni SDA
 
Serikali irejesha mali yake ambapo.kanisa waliungwa mkono na serikali za kikoloni kwa kupitia kodi za watu wote ndo mkapata hivyo vidude vyenu. Soma wasome hawa halafu uje na pirojo zako tena hapa:
1. Mohamed Said.
2. John syvalon
3. Bergen.
4. Njozi katika Mwembechai killings.
Kisha uje tujadiliane hapa.
 
Mali za kanisa ila ulivyokuwa mjinga umetawaliwa miaka kibao na wazungu mpaka wamasambaza ustaarabu wao ,madhara kibao wameacha na kunyonya watu eti unapiga kelele mali za kanisa?
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Umekurupuka mwambie mgalatia arudishe viwanda kule Tanga si aliviua kabisa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ