chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Mkimaliza show huwa mnajisachi sana kitu kinachowafanya waami hela umelipa gest nayeye hapati cha maana kitu.Kwema wakuu
Siku hizi hawa dada zetu kumpeleka gest ni ngumu wao wanapenda magetoni
Anajua mkienda GUEST mgao utajuwa mdogo baada kumnyanduaPesa ya nauli itapungua
Guest wadada hawapendi ila hawakatai lodge au hotel..Kwema wakuu
Siku hizi hawa dada zetu kumpeleka gest ni ngumu wao wanapenda magetoni
Nuks ni mtazamo wako tu.Guest ni awkward aisee.. inachoresha ile kinoma ni kheri mkulane ktk gari ingawa mnatia nuksi hicho chombo cha moto..
Mkuu, nuksi is real! Sex haifanyiki kimwili tu inahusisha mambo ya roho pia.Nuks ni mtazamo wako tu.