Kwa nini mademu hawapendi kupelekwa gesti?

Kwa nini mademu hawapendi kupelekwa gesti?

Hapo kuna hesabu inapigwa, ile 20,000 au 30,000 au 40,000 ya kulipia gesti anaitaka aichukue yeye
Hii style ndio ya wadada wengi wa mjini halafu wanakwambia hawajiuzi. Wanawake wachache mno, ambao hawaombi hata sent baada ya show. Wengine wakija ghetto anajua hakosi hela ya vikoba, mchezo wake wa kulipia majina matatu nk.
 
Ndio mlivyodanganywa,endelea na mtazamo huo wa kuwekewa hofu kupitia dini za washenzi wazungu na waarabu,sex ni sacred
Na waganga wa kienyeji nao wanaokutaka usifike kilingeni kwake ikiwa umetoka kuzini bila kuoga au usizini mpaka umalize kutumia dawa zake nao ni dini gani
 
Hii style ndio ya wadada wengi wa mjini halafu wanakwambia hawajiuzi. Wanawake wachache mno, ambao hawaombi hata sent baada ya show. Wengine wakija ghetto anajua hakosi hela ya vikoba, mchezo wake wa kulipia majina matatu nk.
Wengine hawaombi hapohapo ila anavuta kama siku tatu mpaka 7 baada ya hapo mizinga inaanza. Ni mbinu ya indirect ya kudanga kimya kimya

Ni hesabu kali sana inatumika. Cha msingi uwe unampa hela. Na yeye atakupa K mpaka uchoke mwenyewe
 
Back
Top Bottom