Mkuu huwezi kufahamu kwa sababu wengine utakuta anakunywa maji,sasa ukitoa ofa ndio anabadili gia angani.Nikiingia sehemu ya starehe kama club afu nimuone mrembo mzuri anakunywa savannah huwa siwez kumfata..naogopa atanifilisi...me napenda wale wa castle lite 2500 tu
5000hivi savana ni bei gani ?
Aaahhh kumbe ye ni chupa ya kijan!!!Haha chupa ya kijani huyo
Chupa ya kijani 😂😂😂Aaahhh kumbe ye ni chupa ya kijan!!!
Nawee je???.nikupe zawadi ya Weekend
Awww sawa , basi tufanye namna ya mzigo kufika [emoji1]Chupa ya kijani [emoji23][emoji23][emoji23]
Njia ni ile ile ya siku zote 😂😂😂Awww sawa , basi tufanye namna ya mzigo kufika [emoji1]
Huyo atakuwa anakata belo za mtumba bila shaka🤣🤣🤣Kuna mmoja huku kaniganda anataka Balimi,
Aya Depal nitapita pale pale pa siku zoteNjia ni ile ile ya siku zote [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi katika misaada haukukàmilisha zoezi?...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.
Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.
Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Kwenye maandishi yako kuna kitu kinakosekana mkuu...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.
Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.
Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Ndiooo 😂😂😂
Nafurahi ulivomuelewa !! ila leo iwe kwa ndani sasa...Ndiooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitasubiri kitaa kile
😜😜😜Nafurahi ulivomuelewa !! ila leo iwe kwa ndani sasa...
Maana si kwa macho yale, mtu unaweza hisi ukitoka kidogo unaibiwa.
Ila nawee punguza kupendeza daahh, uzuri wewe..kupendeza wewe .....
Unaumiza watu akii[emoji4][emoji16][emoji23]