Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Nikiingia sehemu ya starehe kama club afu nimuone mrembo mzuri anakunywa savannah huwa siwez kumfata..naogopa atanifilisi...me napenda wale wa castle lite 2500 tu
Mkuu huwezi kufahamu kwa sababu wengine utakuta anakunywa maji,sasa ukitoa ofa ndio anabadili gia angani.
 
Mamaenu mdogo anapendaga K vant tena ile kubwa, basi tukinywa inafuata mechi kinapigwa na vile amna mashabiki mechi inaisha hamna anaejua ngapi ngapi?
 
...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Vipi katika misaada haukukàmilisha zoezi?
 
Kwenye maandishi yako kuna kitu kinakosekana mkuu
 
Ndiooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitasubiri kitaa kile
Nafurahi ulivomuelewa !! ila leo iwe kwa ndani sasa...
Maana si kwa macho yale, mtu unaweza hisi ukitoka kidogo unaibiwa.

Ila nawee punguza kupendeza daahh, uzuri wewe..kupendeza wewe .....

Unaumiza watu akii[emoji4][emoji16][emoji23]
 
😜😜😜

Naacha Mara moja
 
Back
Top Bottom