Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Kwa nini mademu wengi wanapenda kunywa Savanna

Mume nimekukamataaa! Haya na mie nitoe out nakuja na mashosti wawili tunakunywa soda
Muke kwanini unanitelekeza kiasi kile yaani hadi nikadondokea kwa maninja wale [emoji27] [emoji27] [emoji27] sina hamu yaani waliamua kabisa kutoboa mifuko [emoji119]

We ukuje tu najua ugonjwa wako ni balimi zile zina hati punguzo sh 15 humalizi kwa kinywaji chako. [emoji23]
 
...Baada ya yeye kuagiza bapa, nikaona isiwe tabu ngoja nami nijitutumue badala ya bia tunywe wote Konyagi, wakati mimi nakunywa kwa uoga uoga, maana huwa sinywagi mara kwa mara Konyagi, yaani haikuchukua round mzinga umekatika!
Nikaagiza mwingine tena, nikaona inaanza kunichukua, mrembo kwa kuwa ni mzoefu akatoa wazo tupate kongoro kwanza, then mbuzi choma.

Yaani mpaka mida ya saa nne usiku nikaona naanza kukata network, but uzuri ni kwamba alikuwa mstaarabu alinisindikiza mpaka Guesti nilipofikia maana nilianza kupotea njia tukaagana.

Asubuhi yake akanipitia (ilikuwa J1) but alifanya kazi ya ziada kunigongea mpaka nikaamka, baada ya kuoga tukaenda kupata supu, sprite baridi na maji meengi baridi ndo nikawa fresh kidogo. Kwa kweli kama angekuwa siyo mstaarabu angenikomba kila kitu maana tulikunywa Konyagi sanaa siku hiyo, na baadae akaja kuwa very close friend of mine na tukasaidiana mengi sana.
Bado ujamalizia bhana[emoji23][emoji23].mbona mengineyo uyasemi
 
Muke kwanini unanitelekeza kiasi kile yaani hadi nikadondokea kwa maninja wale [emoji27] [emoji27] [emoji27] sina hamu yaani waliamua kabisa kutoboa mifuko [emoji119]

We ukuje tu najua ugonjwa wako ni balimi zile zina hati punguzo sh 15 humalizi kwa kinywaji chako. [emoji23]
Tatizo lako hutulii macho juu juu. Hiyo pesa uliyochunwa kiboyaboya bora ungenikabidhi mie, balimi zangu 3 tu naridhika, na ile service ningekupa ya kiwango cha lami. Tulia mume tulia
 
Tatizo lako hutulii macho juu juu. Hiyo pesa uliyochunwa kiboyaboya bora ungenikabidhi mie, balimi zangu 3 tu naridhika, na ile service ningekupa ya kiwango cha lami. Tulia mume tulia
Nishatulia muke umefanikiwa kunituliza.

Tulishakubaliana michepuko sio dili [emoji28] wale wahuni hawanipati tena.
 
...Some yrs back niliendaga Mweka, Moshi (Kule kwenye kile chuo cha wildlife), jioni kwenye mizunguko nikapata kimwana mmoja matata sana tukaenda Bar moja na wakati naweka order nikamuuliza utatumia nini wewe? akajibu fasta mzinga wa Konyagi na club soda!! nikasema leo kazi ipo.
mkuu kazi in adiimu awamu hii hongera
 
Tatizo lako hutulii macho juu juu. Hiyo pesa uliyochunwa kiboyaboya bora ungenikabidhi mie, balimi zangu 3 tu naridhika, na ile service ningekupa ya kiwango cha lami. Tulia mume tulia
Haka kajamaa ngoda kanatuuzi sana sisi wenye chuki binafsi shubamit zake
 
Back
Top Bottom