Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili neno.Zanzibar kuna serikali yenye upendo kwa watu wake.
Hili neno.
Huku gari ni bei rahisi sana,maana mfano suzuki Carry huko kwenu hani 9m show room.Huku ukiwa mjanja hadi 4.5m unapata na unakula raha duniani.
Ushuru wa huku mdogo kwa Magari.Na ni kulingana na hali halisi ya uchumi wa Zanzibar.
Hata hivyo watu bado wanakomaa ushuru kwa bidhaa nyingine ushushwe ili iwe ile Zanzibar ya Zamani.
Maana leo hii Nguzo na viatu watu wanatoka Zanzibar wanakuja kununua Dar na kuleta huku.
ebana mna raha sana. Nimeona toyota ist kwenye yard hadi m 7 unapata huko
Umesahau kuwa matumizi ya serikali ni makubwa sana, Serikali ipunguze gharama zisizo za lazima, ule ujanja ujanja wa safari za uongo, na za kupeana uachwe sasa. Posho za vikao,semina na misululu ya magari ya kifahari ipungue.Tatizo huku ni tamaa ya watumishi wa TRA,bandari na hazina kujitangazia marupurupu makubwa . Uzalendo hakuna kabisa huku bara.
Nadari inawakamua wafanya biashara lakini pato kubwa linaishia mifukoni mwa watu wachache huku bidhaa sikiwa bei juu kwa wananchi.
Tunapandisha kodi kubwa kwa bidhaa ambazo hatuzizalishi humu nchini kama magari lakini wanashusha kodi kwenye sukari,sementi,mabati,nguo,na vitu kama viberiti na bidhaa nyingi za kwenye masupa market.
Viongozi sio wabunifu wa kupanua wigo wa kodi.
M 11 hadi 13
Kwani Zanzibar c mkoa wa Tanzania? Kuleta gar bara iliyosajiliwa kwa namba za Zanzar inahitaji kodi tena? Kwani nimeingiza kutoka nchi za nje? C humu humu tz jmn?
Hivi kwa mfano nikinunua gari zanzibar na ku import hapa bara ghrama zinakuaje
Usiogope bei inashuka unaweza kusave hata milion nzima try it njoo pm ntakufahamisha
Sasa si uwe wazi hapa ili tufaidike wengi kuliko kuanza pm
Mkuu, kuna gari nafikiria kulinunua, nilipo pitia calculator ya TRA jumla ya ushuru ni 3466409tsh. Naomba unipe utofauti wa ushuru kama ntalipitisha Zanzibar kisha nililete Tanganyika. Gari ni Toyota ISIS, la 2005,cc 1900,lipo Japan, na cif ya 2300$.Usiogope bei inashuka unaweza kusave hata milion nzima try it njoo pm ntakufahamisha