kwa nini magari zenji ni bei rahisi kulinganisha na tz bara

Mkuu, kuna gari nafikiria kulinunua, nilipo pitia calculator ya TRA jumla ya ushuru ni 3466409tsh. Naomba unipe utofauti wa ushuru kama ntalipitisha Zanzibar kisha nililete Tanganyika. Gari ni Toyota ISIS, la 2005,cc 1900,lipo Japan, na cif ya 2300$.

Mkuu ushauri wangu pitishia bandari ya Mombasa kama utaweza maana utasave hadi million moja hakuna ubabaishaji kule ukishalitoa gari kule unakuja border ya Horiri unafanya clearance na watu wa TRA unaondoka na gari yako pasipo usumbufu wala kupoteza muda,
 
Cha ajabu ukitembelea gari yenye namba za Zanzibar utasumbuliwa na traffic pamoja na TRA balaa lakini ukiwa Zanzibar na namba za bara hakuna atakaekusumbua kabisa

Hiyo ni kero ya muungano

Kwenye kodi uganda bidhaa ni rahisi mno wakati wametoa uchina na wamepitisha bandari ya dar na watu wa dar wanaenda kununua uganda hadi chupi
 
Mkuu ushauri wangu pitishia bandari ya Mombasa kama utaweza maana utasave hadi million moja hakuna ubabaishaji kule ukishalitoa gari kule unakuja border ya Horiri unafanya clearance na watu wa TRA unaondoka na gari yako pasipo usumbufu wala kupoteza muda,

Kwa hiyo Dar port ni kimeo mkuu?
 
Kwa hiyo Dar port ni kimeo mkuu?

Sio kimeo tu ni shida plus usumbufu, kule Mombasa wakikwambia njoo uchukue gari yako jumatatu ni jumatatu kweli hawana ubabaishaji maana port charges zao si mchezo
 
Mkuu ushauri wangu pitishia bandari ya Mombasa kama utaweza maana utasave hadi million moja hakuna ubabaishaji kule ukishalitoa gari kule unakuja border ya Horiri unafanya clearance na watu wa TRA unaondoka na gari yako pasipo usumbufu wala kupoteza muda,
hasante, utofauti unaletwa na kenya kuwa na ushuru wachini ama? mahana nikiangalia cif kwa dar na mombasa naona zipo sawa. utofauti unaletwa na nini?
 
Usumbufu na charges zisizokuwa na maana
 
nikiagizia zanzibar..wakati naliingiza bara ntapaswa kulipia kodi tena?
 
Back
Top Bottom