sweetie stone
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 417
- 95
Mkuu, kuna gari nafikiria kulinunua, nilipo pitia calculator ya TRA jumla ya ushuru ni 3466409tsh. Naomba unipe utofauti wa ushuru kama ntalipitisha Zanzibar kisha nililete Tanganyika. Gari ni Toyota ISIS, la 2005,cc 1900,lipo Japan, na cif ya 2300$.
Cha ajabu ukitembelea gari yenye namba za Zanzibar utasumbuliwa na traffic pamoja na TRA balaa lakini ukiwa Zanzibar na namba za bara hakuna atakaekusumbua kabisa
Mkuu ushauri wangu pitishia bandari ya Mombasa kama utaweza maana utasave hadi million moja hakuna ubabaishaji kule ukishalitoa gari kule unakuja border ya Horiri unafanya clearance na watu wa TRA unaondoka na gari yako pasipo usumbufu wala kupoteza muda,
Kwa hiyo Dar port ni kimeo mkuu?
niPM hayo maelezo mkuu.Usiogope njoo pm au wacha number ya simu bcoz nikianza kuandika itakuwa barua kaka hiyoo
hasante, utofauti unaletwa na kenya kuwa na ushuru wachini ama? mahana nikiangalia cif kwa dar na mombasa naona zipo sawa. utofauti unaletwa na nini?Mkuu ushauri wangu pitishia bandari ya Mombasa kama utaweza maana utasave hadi million moja hakuna ubabaishaji kule ukishalitoa gari kule unakuja border ya Horiri unafanya clearance na watu wa TRA unaondoka na gari yako pasipo usumbufu wala kupoteza muda,
hasante, utofauti unaletwa na kenya kuwa na ushuru wachini ama? mahana nikiangalia cif kwa dar na mombasa naona zipo sawa. utofauti unaletwa na nini?