Kwa nini majike tu?

Kwa nini majike tu?

By the way do you still hate your boss? Off point, I know.
HAPA UMEUA shemeji!vibatani vya thenksi naona invizibo anavizuia.mimi nakwambia shemeji ningekuwa invizibo mimi ungekula senksi hadi za mwezi ujao!😀
 
"eeeh jamani Vivian"

festledi unashangaa nn mbona kawaida??????😕
 
wewe bana!hahahahahahah.unakunywa bia gani wewe?WEITAAAAAAAAA MPENI SHEMEJI SERENGETI!

Geoff
Chrispin
Gkundi
Fidel80
siku TBL wakifunga kiwanda nadhani mtaugua ghafla
sijawahi kupitisha siku bila kuwabamba mnaweka miadi ya lager hahahahah
 
HAPA UMEUA shemeji!vibatani vya thenksi naona invizibo anavizuia.mimi nakwambia shemeji ningekuwa invizibo mimi ungekula senksi hadi za mwezi ujao!😀

Si unajua bwashee? Kama bosi anakupa mshahara mdogo kuliko kiasi cha fedha unazotoa kwenye ATM card ya boifrend, kwanini usim-hate? To hell with the boss! Hapo boifrend akiwa husband ujue kwenye ATM una-draw not less than 2M. Go to hell boss!
 
Geoff
Chrispin
Gkundi
Fidel80
siku TBL wakifunga kiwanda nadhani mtaugua ghafla
sijawahi kupitisha siku bila kuwabamba mnaweka miadi ya lager hahahahah

TBL wakifunga wapwa wataumia sana. Mi wakifunga SBL ntaandamana mpaka IKULU. Achana na hiyo kitu mamaa. Ni tulizo la moyo. Inaleta ujasiri na kupunguza stress na umasikini kwa muda. Usingizi murua.
 
Geoff
Chrispin
Gkundi
Fidel80
siku TBL wakifunga kiwanda nadhani mtaugua ghafla
sijawahi kupitisha siku bila kuwabamba mnaweka miadi ya lager hahahahah
kuna vitu vingi ambavyo sisi hatuviwezi.lakini sio kunywa bia bwana!
 
Hivi hivyo ambavyo mnawapa wanawake huwa wanawaomba au ni nyie wenyewe tu huwa mnaamua kutoa?

Wanawake huwa wanaomba wanaume pesa, nadhani ni kama asilimia 90 ya wanawake huwa wanatabia hii...
 
Very much. for your information I have already handed in my resignation letter. ndo maana leo niko huku.

Lol! Are now desparately looking for another job?
 
You want to give me one?????
you dont expect me to have resigned b4 getting another well paying job!!! do you?

Thats my girl! Now stop the drawing thing from your BF's ATM!
 
TBL wakifunga wapwa wataumia sana. Mi wakifunga SBL ntaandamana mpaka IKULU. Achana na hiyo kitu mamaa. Ni tulizo la moyo. Inaleta ujasiri na kupunguza stress na umasikini kwa muda. Usingizi murua.

wanywaji utawajua tu eeh ngoja nirudi kwenye mada pls
 
Chrispin shemeji unafaa kuwa detective maana umemnasa kwenye angle yake lolh!!
 
Thats my girl! Now stop the drawing thing from your BF's ATM!
why should I. He gave me out of his own will!! I didnt ask for it. may be its his way of showing love.
 
why should I. He gave me out of his own will!! I didnt ask for it. may be its his way of showing love.
MOST PROBABLY his way of buying love!

.........on the serious note:MONEY CAN'T BUY LOVE
 
Back
Top Bottom