Kwa nini majike tu?

why should I. He gave me out of his own will!! I didnt ask for it. may be its his way of showing love.

The Guy knows how to buy love, huh? Do you pay back to show your appreciation?
 
The Guy knows how to buy love, huh? Do you pay back to show your appreciation?[/QUOTE]
hapa lazima atoe hadi ndogo!provided jamaa anataka!laki sita sio hela ndogo bana
 
The Guy knows how to buy love, huh? Do you pay back to show your appreciation?

Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!
 
heee hii kali jamani....
 
gonga thenksi basi!ukishamaliza kumchuna hamia kwa shemeji yangu x-pin!πŸ˜€

Wife hata hajui ninapoiweka ATM card yangu. Linapokuja swala la love through money, am on the other way opposite.
 
Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!

naomba niintafie kidogo!pesa huwa zinatolewa lakini hatuintatein kumuingiza g/f kwenye peiroli kama wewe unavyofanyiwa
 
nimegonga senksi hapo!ninapata picha halisi ya unachokihubiri kwa uzoefu nilioupata kwa dada ako!πŸ˜€
 
Why r you no comfortable with this Idea? kabla hujamuoa mkeo, hujawahi kumpa pesa? just be frank and sincere!!!

To be sincere nilikuwa nampa na Mpaka leo nampa kama ambavyo naye alivyokuwa ananipa na mpaka sasa ananipa. We share our income.
 
naomba niintafie kidogo!pesa huwa zinatolewa lakini hatuintatein kumuingiza g/f kwenye peiroli kama wewe unavyofanyiwa

Kuna thanks nimekupa kule bwashee! Nimeipenda hiyo bold zaidi.
 
hehehe!
vivian akiachika sitashangaa akifungua kesi ya madai!anataka malipo yote ya NSSFπŸ˜€
 
hapa lazima atoe hadi ndogo!provided jamaa anataka!laki sita sio hela ndogo bana

Bwashee laki sita ukizimwaga pale CHAWOTE kila siku utakuwa na hangover kwa mwezi mzima. ni 20,000 per day ujue? Bia ngapi hizo? Hapo labda kina Liyumba ndio wanaweza kumwingiza binti kwenye mshahara huo. Hivi laki 6 PAYE ni shs ngapi? Where the hell is Nguli?
 
hao wanaume wa kumpa mrembo wake mpaka ATM yake ni wachache sana.....lol
 
hehehe!
vivian akiachika sitashangaa akifungua kesi ya madai!anataka malipo yote ya NSSFπŸ˜€

Serikali inapoteza hela nyingi. Sijui hiyo peiroli inahusisha na PAYE?
 
To be sincere nilikuwa nampa na Mpaka leo nampa kama ambavyo naye alivyokuwa ananipa na mpaka sasa ananipa. We share our income.

Thats good! kwasasa ukisema mnapeana nakubali. ila kipindi unafukuzia kulikua hakuna kupeana, hapo unatudanganya wazi kaka!
 
Sure you CAN'T dare to swear in this, can you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…