Ukiangalia makampuni mengi kuanzia tbl, na mengineyo mameneja wake ni wachaga. Nashindwa kuelewa kwa ajiri ya nini . Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali majibu wanayonipa kwa kweli siridhiki nayo, wengi wananiambia kabila hilo ndilo linalo ongoza kwa kunywa pombe tanzania hivyo ukiwa meneja hutataka kuona kampuni hiyo inafirisika kwani utasababisha wachaga wenzako wafe kwa kukosa pombe hivyo utajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha uzalishaji hausimami.
Mwenye majibu ya kweli atufahamishe . akina Kavishe na wengineo tupeni majibu .