Kwa nini makampuni mengi ya vinywaji vya vilevi maafisa mauzo wake ni wachaga

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,171
Ukiangalia makampuni mengi kuanzia tbl, na mengineyo mameneja wake ni wachaga. Nashindwa kuelewa kwa ajiri ya nini . Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali majibu wanayonipa kwa kweli siridhiki nayo, wengi wananiambia kabila hilo ndilo linalo ongoza kwa kunywa pombe tanzania hivyo ukiwa meneja hutataka kuona kampuni hiyo inafirisika kwani utasababisha wachaga wenzako wafe kwa kukosa pombe hivyo utajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha uzalishaji hausimami.

Mwenye majibu ya kweli atufahamishe . akina Kavishe na wengineo tupeni majibu .
 
vita na wachagga mtaimaliza lini???
 
Huu unaoleta ni upumbav.u kwa sababu unaleta ukabila ambao kimsingi haujengi nchi hii.

Nchi hii unajengwa na umoja bila kujali ujinga kama ukabila na udini.

Jibu rahisi kwenye hilo ni kwa sababu wanamudu kazi hizo na wanamudu si kwa sababu ya kabila lao bali Elimu yao ambayo wao walijiwekezea huko tangu kitambo.

Yeyote anaweza fanya kazi hy regarding ana ujuzi katika nyanja husika.

Acha ujinga wa kuleta ukabila, ukombozi wa watanzania hauhitaji ukabila wala dini.
 
Jamani tujifunze kuvumiliana..hakuna haja ya kumshambulia huyu mwenzetu.
Katika jamii ni lazima tuwe na watu wa aina hii ili maisha yasonge mbele.Of course,tunahitaji kuwa na watu wenye akili timamu na busara,lakini pia tunahitaji watu wajinga na hovyo kama huyu mwenzetu..hiyo ndiyo balance ya nature jamani.
 
Back
Top Bottom