M Mawele Platinum Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,161 Reaction score 4,251 Jul 31, 2026 #1 Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu. Your browser is not able to display this video.
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu. Your browser is not able to display this video.
RugambwaYT JF-Expert Member Joined Jan 11, 2014 Posts 1,444 Reaction score 2,032 Jul 31, 2026 #2 Wengi ni "deiwaka". Unakuta sare zio zake. Zimeshavaliwa na watu hamsini. So anaona ni balaa na yeye kuzivaa vizuri
Wengi ni "deiwaka". Unakuta sare zio zake. Zimeshavaliwa na watu hamsini. So anaona ni balaa na yeye kuzivaa vizuri