Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sikubaliani nalo ilo swala nakataaa
Aisee,Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?
Mkuu, me sikumbuki chochote kuhusu mapenzi ya kwanza Na vitu kama hivo.. yaani hata jina la mtu wa kwanza silikumbuki.Mbona anasahaulika tu.
Hata mimi. Siwezi kupoteza muda wangu kumkumbuka mtu ambaye sikai naye kwa muda huu.Mkuu, me sikumbuki chochote kuhusu mapenzi ya kwanza Na vitu kama hivo.. yaani hata jina la mtu wa kwanza silikumbuki.
Hiyo kitu labda kwa madem. Mwanaume aliekamilika hawezi kufanya huo uzezetaHata mimi. Siwezi kupoteza muda wangu kumkumbuka mtu ambaye sikai naye kwa muda huu.
Kabisa mkuu.Hiyo kitu labda kwa madem. Mwanaume aliekamilika hawezi kufanya huo uzezeta
Mwanamke malaya peke yake ndiye anaweza kuendelea kukumbuka mambo ya nyuma wakati huo yupo kwenye mahusiano mapya.Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma kufutika.
Je, ni kwa sababu mapenzi ya kwanza huwa na hisia za kipekee? Mara nyingi huwa ni mara ya kwanza mtu kupata hisia nzito za kumpenda mwingine. Ni mara ya kwanza kusubiri ujumbe wa mtu kwa hamu, kumkumbuka akiwa mbali na hata kuanza kupanga maisha ukimuweka mtu mwingine ndani yake. Kwa sababu kila kitu huwa kipya, kumbukumbu zake zinaweza kuwa na nafasi kubwa kwenye akili.
Lakini je, tunapomkumbuka mpenzi wetu wa kwanza, huwa tunamkumbuka yeye au tunakumbuka maisha tuliyokuwa nayo wakati huo? Wakati mwingine mtu hamkumbuki sana yule aliyekuwa naye, bali anakumbuka namna alivyohisi akiwa naye. Anaweza kukumbuka furaha, ujumbe waliotumiana, sehemu walizotembelea au hata wimbo uliokuwa wao. Je, si jambo hilo linalofanya mapenzi ya kwanza yaonekane magumu kusahaulika?
Na kwa nini wengine huendelea kumkumbuka mpenzi wa kwanza hata wakiwa tayari kwenye ndoa au mahusiano mengine? Huenda ni kwa sababu kumbukumbu za matukio yenye hisia kali huwa na nafasi kubwa kwenye akili. Mapenzi ya kwanza yanaweza kuwa sehemu ya kipindi ambacho mtu alikuwa anajifunza kuhusu upendo, kuamini mtu na kujitambua. Hivyo, kumbukumbu ya mtu huyo inaweza kuunganishwa na kumbukumbu ya hatua muhimu ya maisha yake.
Lakini je, kumkumbuka mtu wa kwanza uliyempenda kunamaanisha bado unampenda? Si lazima. Unaweza kumkumbuka mtu bila kutaka kurudiana naye. Wakati mwingine kumbukumbu hubaki kwa sababu mtu huyo alikuwa sehemu muhimu ya historia yako, si kwa sababu bado anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako ya sasa.
Labda swali kubwa si kwa nini tunawasahau kwa shida, bali ni kwa nini tunatarajia tuwasahau kabisa? Kuna watu ambao huacha alama kwenye maisha yetu. Mapenzi ya kwanza yanaweza kuwa moja ya alama hizo. Yanaweza kuisha, mtu akaendelea na maisha yake, lakini kumbukumbu ikabaki.
Na wewe je, unakubaliana kwamba mapenzi ya kwanza huwa hayawezi kusahaulika kirahisi, au unaamini mtu anaweza kumpenda mwingine na kumsahau kabisa mpenzi wake wa kwanza?
View attachment 3655272
View attachment 3655273
Upuuzi huu. Lol
Imagine 🤣🤣
kujiendekeza tu
Ninyi wote hamja experience upendo mmexperience infatuation na desire tu.Mambo ya kitoto hayo
labda kwa wanawake,Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma kufutika.
Je, ni kwa sababu mapenzi ya kwanza huwa na hisia za kipekee? Mara nyingi huwa ni mara ya kwanza mtu kupata hisia nzito za kumpenda mwingine. Ni mara ya kwanza kusubiri ujumbe wa mtu kwa hamu, kumkumbuka akiwa mbali na hata kuanza kupanga maisha ukimuweka mtu mwingine ndani yake. Kwa sababu kila kitu huwa kipya, kumbukumbu zake zinaweza kuwa na nafasi kubwa kwenye akili.
Lakini je, tunapomkumbuka mpenzi wetu wa kwanza, huwa tunamkumbuka yeye au tunakumbuka maisha tuliyokuwa nayo wakati huo? Wakati mwingine mtu hamkumbuki sana yule aliyekuwa naye, bali anakumbuka namna alivyohisi akiwa naye. Anaweza kukumbuka furaha, ujumbe waliotumiana, sehemu walizotembelea au hata wimbo uliokuwa wao. Je, si jambo hilo linalofanya mapenzi ya kwanza yaonekane magumu kusahaulika?
Na kwa nini wengine huendelea kumkumbuka mpenzi wa kwanza hata wakiwa tayari kwenye ndoa au mahusiano mengine? Huenda ni kwa sababu kumbukumbu za matukio yenye hisia kali huwa na nafasi kubwa kwenye akili. Mapenzi ya kwanza yanaweza kuwa sehemu ya kipindi ambacho mtu alikuwa anajifunza kuhusu upendo, kuamini mtu na kujitambua. Hivyo, kumbukumbu ya mtu huyo inaweza kuunganishwa na kumbukumbu ya hatua muhimu ya maisha yake.
Lakini je, kumkumbuka mtu wa kwanza uliyempenda kunamaanisha bado unampenda? Si lazima. Unaweza kumkumbuka mtu bila kutaka kurudiana naye. Wakati mwingine kumbukumbu hubaki kwa sababu mtu huyo alikuwa sehemu muhimu ya historia yako, si kwa sababu bado anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako ya sasa.
Labda swali kubwa si kwa nini tunawasahau kwa shida, bali ni kwa nini tunatarajia tuwasahau kabisa? Kuna watu ambao huacha alama kwenye maisha yetu. Mapenzi ya kwanza yanaweza kuwa moja ya alama hizo. Yanaweza kuisha, mtu akaendelea na maisha yake, lakini kumbukumbu ikabaki.
Na wewe je, unakubaliana kwamba mapenzi ya kwanza huwa hayawezi kusahaulika kirahisi, au unaamini mtu anaweza kumpenda mwingine na kumsahau kabisa mpenzi wake wa kwanza?
View attachment 3655272
View attachment 3655273
mimi kati ya vitu muhimu ninavyokumbuka ni uwezo wa kutengeneza milioni moja yangu kwa mara ya kwanza baada ya kufanya kazi halali.Aisee,
Unaandika vizuri, hadi nimehisi
Miss Halima = ShesRise_1
Anyway, hilo suala la kutosahau mpenzi wa kwanza linaweza kuwa sahihi kwa wanawake pekee, siyo kwa madume ya mbegu, maana unaeza kuta dume mmoja ana wapenzi wa kwanza kadhaa - yaani alio wakata utepe.
Pili, unakuta wewe mwanaume siku yako ya kwanza kupewa utamu unakutana na mzoefu, siyo bikra, alishapigwa pipe sana. Sasa hapo utakumbukia kitu gani??
Mtu ambaye hasahauliki kirahisi kwa mwanamke ni yule ambaye alimfanya akawa mama, akabeba mimba kwa hiari yakr. Hii ya kumtoa bikra usidanganyikeJambo hiki
Huniumiza Sana
Niko na mke ambae sikumtoa bikra
Ninaumia
Na yeye yupo na mwanaume ambaye hakua chaguo lake la kwanza. Amejishikiza kwako kwa sababu wanaume anaowataka hawamtaki au wamem-dumpJambo hiki
Huniumiza Sana
Niko na mke ambae sikumtoa bikra
Ninaumia
Hawajakupiga hukuAchana na mpenzi wa kwanza hivi mtoa mada ushawahi kukutana na hii hali halafu ukapata win? Hutosahau niamini mimi 😂
View attachment 3655423
View attachment 3655424
Selikavu Warld Corrie de killer Mr Devil
😂😂😂,wametuweza washenzi sana konami,Umeingia laki 4 bora kwanzaWanajua card za POTW za Japan tunatafutia booster, hii wameleta kutukomesha.