Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?
Aisee,
Unaandika vizuri, hadi nimehisi
Miss Halima = ShesRise_1

Anyway, hilo suala la kutosahau mpenzi wa kwanza linaweza kuwa sahihi kwa wanawake pekee, siyo kwa madume ya mbegu, maana unaeza kuta dume mmoja ana wapenzi wa kwanza kadhaa - yaani alio wakata utepe.

Pili, unakuta wewe mwanaume siku yako ya kwanza kupewa utamu unakutana na mzoefu, siyo bikra, alishapigwa pipe sana. Sasa hapo utakumbukia kitu gani??
 
Mwanamke malaya peke yake ndiye anaweza kuendelea kukumbuka mambo ya nyuma wakati huo yupo kwenye mahusiano mapya.

Wanawake wanaojitambua hawawezi hata kukumbuka ni nani aliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano ya mwanzo maana akisha move on kila kitu kinaishia hapo hapo.
 
Sio mpenzi wa kwanza.!

Ni mtu uliye mpenda kwa dhati. Huyo a acha alama kwenye nafsi
 
labda kwa wanawake,
kwa wanaume sidhani kama huwa wanakumbuka chochote, mimi binafsi sikumbuki chochote kutoka kwa ma ex zangu.
 
mimi kati ya vitu muhimu ninavyokumbuka ni uwezo wa kutengeneza milioni moja yangu kwa mara ya kwanza baada ya kufanya kazi halali.
 
Sincerely simkumbuki niliyelala naye Mara ya kwanza, Jitahidini sana muolewe nao maana idada ya watoto waiolelewa na Baba zao na ma Single Mama inazidi kuongezeka Kila siku!
 
Mkuu unatafuta sababu ya kuhalalisha upashaji wa kiporo na ex wako tu, hakuna kingine
 
Jambo hiki
Huniumiza Sana
Niko na mke ambae sikumtoa bikra

Ninaumia
Mtu ambaye hasahauliki kirahisi kwa mwanamke ni yule ambaye alimfanya akawa mama, akabeba mimba kwa hiari yakr. Hii ya kumtoa bikra usidanganyike
 
Jambo hiki
Huniumiza Sana
Niko na mke ambae sikumtoa bikra

Ninaumia
Na yeye yupo na mwanaume ambaye hakua chaguo lake la kwanza. Amejishikiza kwako kwa sababu wanaume anaowataka hawamtaki au wamem-dump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…