Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

Mtu ambaye hasahauliki kirahisi kwa mwanamke ni yule ambaye alimfanya akawa mama, akabeba mimba kwa hiari yakr. Hii ya kumtoa bikra usidanganyike
Inaumiza mno ila ukweli ndio huo mtu alietoa bikra huwa hasahauliki kabisa ni wenyewe wanawake wanasema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…