Kwa nini matajiri wengi wa kihindi[ Kiasili na kiutaifa ] wanatokea Gujarat ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Kwa nini matajiri wengi wa kihindi iwe kiasili au kitaifa wanatokea Gujarat ?

Mfano
Familia ya Dewji
Ambani
Adani
Tata
Patel
Na wengine wengi wengi

Hii Gujarat ina siri gani ?
Gujarat-state-India.jpg
300px-IN-GJ.svg.png
 
Nitajibu namna ambavyo ninafahamu;
Gujarat ina historia ndefu ya biashara, na sehemu ambayo ipo katika nafasi nzuri kwenye makutano ya njia kuu za biashara (key trade routes). Gujarat sasa ni miongoni mwa majimbo tajiri zaidi nchini India kutokana na uwepo wa shughuli za biashara.
images - 2025-01-19T171902.984.jpeg

Kihistoria, Gujarat ina njia ndefu ya pwani (long coastal line) imepakana na sehemu kubwa ya bahari na idadi kubwa ya mito. Kwa sababu ya ufikiaji wa pwani, kingine watu wa Gujarati wanafanya kazi kwa bidii. Wanafanya kazi yoyote kuanzia kufungua maduka, kuuza bidhaa mitaani hadi uhasibu.
 
Nitajibu namna ambavyo ninafahamu;
Gujarat ina historia ndefu ya biashara, na sehemu ambayo ipo katika nafasi nzuri kwenye makutano ya njia kuu za biashara (key trade routes). Gujarat sasa ni miongoni mwa majimbo tajiri zaidi nchini India kutokana na uwepo wa shughuli za biashara.
View attachment 3206488

Nimekuelewa vizuri
 
Mbona kama AI
 
Wakina Gautam Adani, Dhirubhai Ambani, na Mukesh Ambani ni wagujarati OG
Ambani yupo U.S jana kapiga picha moja na Trump nafikiri ameenda kwa ajili ya tukio la kesho.
678cfc11a39b1-us-president-elect-donald-trump-with-ril-chairman-mukesh-ambani-and-reliance-fou...jpg
 
Back
Top Bottom